Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 195
  • Hii Ni Siku ya Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Hii Ni Siku ya Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Aanza Kutawala
    Mwimbieni Yehova
  • Yehova Aanza Kutawala
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Ndipo Watajua
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Uzima wa Milele Umeahidiwa
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 195

Wimbo 195

Hii Ni Siku ya Yehova

(Zaburi 118:24)

1. Siku ya Yehova. Enzi itadumu.

Jiwe Kuu kaweka Sayuni.

Wamushangilie Washukuru yeye.

Twaamini Ufalme wa Yehova tu.

(Korasi)

2. Kristo atawala, ’Magedoni yaja.

Mufumo wa Shetani kupita.

Lihubiri Neno; Ujumbe wa Mungu.

Saidia wapole watii Mungu.

(Korasi)

3. Na Mufalme Yesu; Wa ajabu sana.

Utawala wake twakubali.

Ingia hekalu! Ombeni kibali,

Tupate kulindwa hudumani mwake.

(KORASI)

We Ufalme ’taleta nini?

Ushindi, uadilifu.

Nini kingine utaleta?

Uzima hata furaha.

Sifu Mwenye Enzi Kuu

Mwenye pendo, imani.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki