Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 51
  • Kufurahisha Moyo wa Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kufurahisha Moyo wa Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kufurahisha Moyo wa Yehova
    Mwimbieni Yehova
  • Kufurahisha Moyo wa Yehova
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Vijana Wanaofurahisha Moyo wa Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Unahisije?
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 51

Wimbo 51

Kufurahisha Moyo wa Yehova

(Mithali 27:11)

1. Mungu tumenadhiria

Kufanya mapenzi yako.

Tutafanya kwa hekima

Kukufurahisha moyo.

2. Tusitoke kwako Wewe;

Tumupinge Mushawishi.

Kanuni zako ni njema

Tutazipenda daima.

3. ‘Mutumwako mwaminifu,’

Anatujulisha mema,

Ifaapo atulisha,

Hivyo hututia nguvu.

4. Tupe kani ya ’tendaji

Tushike uaminifu,

Tukupe tunda la sifa,

Tupendeze moyo wako.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki