Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 152
  • Kuthamini Huruma za Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kuthamini Huruma za Mungu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Inatupasa Kuwa Watu wa Aina Gani?
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kumtukuza Baba Yetu, Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • “Lifurahieni Tumaini”
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kumtii Mungu Kuliko Wanadamu
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 152

Wimbo 152

Kuthamini Huruma za Mungu

(Warumi 11:33-35)

1. Mali, ujuzi, hekima

Mungu Bwana zi kwake!

Lo! hazitafutikani

Hukumu, njia zake!

Nani amemushauri,

Kumupa musaada,

Hata adaiwe nasi

Au kwamba tulipwe?

2. Kwa huruma za Yehova

Tumushukuru yeye,

Miili yetu tutoe

Kwa Mungu mwadilifu.

Wakifu tukawa sisi,

Tufanye upasavyo,

Kwa nguvu za kufikiri

Tutende tuwezayo.

3. Tuache uulimwengu,

Akili ziwe mupya

Kwa kweli igeuzayo

Tujawe na imani.

Baraka tuombe Mungu,

Tuwe wa kujishusha,

Na hivyo, tukipendana;

Tutapata amani.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki