Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 66
  • Nguvu za Fadhili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Nguvu za Fadhili
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Pendeza Yehova kwa Kuonyesha Fadhili
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Lazima Watu wa Mungu Wapende Fadhili
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Kujitahidi Kuonyesha Fadhili Katika Ulimwengu Wenye Uadui
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Acha “Sheria ya Fadhili” Ikuchochee
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 66

Wimbo 66

Nguvu za Fadhili

(Warumi 2:4)

1. Tushukuru Mungu sana,

Awafadhilia

Wale wasiostahili,

Wakristo twajua.

Ajapokuwa mukuu

Anazo busara nyingi.

Fadhilize zatuvuta

Kwake na imani.

2. Yesu kweli alifunza.

Kwa ’tulivu, ’pole,

Fadhili alitumia

Kwa walio chini,

Mafundisho ya upendo

Yaliburudisha nafsi,

Wadhambi wakaamini

Mungu kwa mioyo.

3. Neno la Mungu lasema

Tulizae tunda.

Tuwe kama Mungu, Yesu,

Na tubarikiwe.

Tukiwa na matatizo,

Tutayatatua kama

Tukiwa nao upole,

Tena na fadhili.

4. Tutawafaidi watu

Tunapothamini

Fadhili ni zenye kani

Idumuyo, kubwa!

Wapaji wana baraka,

Sio wapokeao tu.

Fadhili zasifu Mungu,

Mupaji uzima.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki