Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yaliyomo
    Jinsi ya Kupata Maisha Yenye Kuridhisha
    • Yaliyomo

      Ukurasa

      1. Je, Maisha Yenye Kuridhisha Ni Ndoto?

      2. Madokezo ya Kuishi Maisha Yenye Kuridhisha

      3. Kitabu Chenye Mwongozo Unaotegemeka

      4. Mtungaji wa Kitabu Hiki cha Pekee

      5. Kumjua Mungu

      6. Kwa Nini Yehova Alituumba?

      7. Kwa Nini Ni Vigumu Kuwa na Maisha Yenye Kuridhisha?

      8. Maisha Yenye Kuridhisha Yarudishwa

      9. Furahia Maisha Yenye Kuridhisha Sasa na Milele!

  • Utangulizi
    Jinsi ya Kupata Maisha Yenye Kuridhisha
    • Utangulizi

      Msichana tineja akitumia simu ya mkononi; mvulana tineja akisikiliza muziki; mke akiwa amefadhaika kwa sababu anapuuzwa na mume wake

      Hebu fikiria hali hizi zinazotofautiana: Katika nchi moja ambayo imeendelea, zaidi ya asilimia 90 ya watu wanaona kwamba wana furaha nyingi ama wana furaha ya kiasi fulani. Lakini kati ya aina 10 za dawa zinazotumiwa sana katika nchi hiyo, aina 3 ni za kutibu ugonjwa wa kushuka moyo. Katika nchi hiyohiyo, asilimia 91 ya watu huona maisha yao ya familia kuwa yenye kuridhisha. Lakini, karibu nusu ya watu waliofunga ndoa katika nchi hiyo hutalikiana!

      Utafiti uliohusisha watu katika nchi 18, ambazo zina karibu nusu ya idadi ya watu wote ulimwenguni, ulionyesha kwamba “ulimwenguni kote watu wana shaka kuhusu wakati ujao.” Basi, ni wazi kwamba watu wengi hawaishi maisha yenye kuridhisha kikamili. Namna gani wewe? Broshua hii imetayarishwa ikusaidie kufanya maisha yako yawe yenye kuridhisha kwelikweli.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki