Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 43
  • Kaeni Macho, Simameni Imara, Iweni na Nguvu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kaeni Macho, Simameni Imara, Iweni na Nguvu
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Uwe Macho, Simama Imara, Uwe na Nguvu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kaeni Macho, Simameni Imara, Mwe Hodari
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • “Fulizeni Kulinda”!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Wenye Furaha ni Wale Wakaao Macho!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1997
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 43

Wimbo Na. 43

Kaeni Macho, Simameni Imara, Iweni na Nguvu

Makala Iliyochapishwa

(1 Wakorintho 16:13)

1. Uwe macho na imara,

Azimia kudumu.

Tenda kama mwanamume,

Uyashinde magumu.

Amuri ya Yesu ufwate,

Usimame upande wake.

(KORASI)

Uwe macho na mwenye nguvu!

Hadi mwisho udumu.

2. Uwe macho na tayari,

Kutimiza utume.

Fwata mwongozo wa Kristo,

Kupitia mutumwa.

Tii shauri la wazee,

Sikuzote wategemee.

(KORASI)

Uwe macho na mwenye nguvu!

Hadi mwisho udumu.

3. Uwe macho, na bidii,

Ukweli utetee.

Japo adui ni wengi,

Hubiri hadi mwisho.

Shiriki Mungu kumusifu.

Siku yake iko karibu.

(KORASI)

Uwe macho na mwenye nguvu!

Hadi mwisho udumu.

(Ona pia Mt. 24:13; Ebr. 13:7, 17; 1 Pet. 5:8.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki