Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 81
  • “Tupe Imani Zaidi”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Tupe Imani Zaidi”
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • “Tusaidie Tuwe na Imani Zaidi”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Lazima Tuwe na Imani
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • “Tupe Imani Zaidi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Lazima Tuwe na Imani
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 81

Wimbo Na. 81

“Tupe Imani Zaidi”

Makala Iliyochapishwa

(Luka 17:5)

1. Kwa sababu hatujakamilika,

Mwelekeo wetu ni mubaya.

Kuna dhambi itutatanishayo—

Kutokuwa na imani kwako.

(KORASI)

Ee, Yehova, tupatie imani.

Twakuomba, utusaidie,

Kwa rehema unazotuonyesha.

Nawe uheshimiwe zaidi.

2. Ili kukupendeza wewe vema,

Ni lazima tuwe na imani.

Kama ngao, imani hutulinda.

Hatuhofu siku za usoni.

(KORASI)

Ee, Yehova, tupatie imani.

Twakuomba, utusaidie,

Kwa rehema unazotuonyesha.

Nawe uheshimiwe zaidi.

(Ona pia Mwa. 8:21; Ebr. 11:6; 12:1.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki