Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 90
  • Tianeni Moyo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tianeni Moyo
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Tianeni Moyo
    Mwimbieni Yehova
  • “Endeleeni Kutiana Moyo na Kujengana”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Kaa Katika Upendo wa Mungu
    Biblia Inafundisha Nini Hasa?
  • Kuchochea Kwenye Upendo na Kazi Zilizo Bora—Jinsi Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 90

WIMBO NA. 90

Tianeni Moyo

Makala Iliyochapishwa

(Waebrania 10:24, 25)

  1. 1. Tuwatiapo ndugu moyo,

    Kumtumikia Mungu,

    Upendo unaimarika;

    Kwawa amani, umoja.

    Upendo wa watu wa Mungu,

    Hufanya tuvumilie.

    Kutaniko ni kimbilio,

    Mahali pa usalama.

  2. 2. Neno zuri linaposemwa,

    Lafurahisha moyo, we!

    Maneno yenye kufariji

    Ya ndugu zetu wapendwa.

    Tufanyapo kazi pamoja,

    Na ndugu na dada zetu,

    Tunaimarishana nao,

    Mizigo twabebeana.

  3. 3. Siku ya Yehova karibu.

    Twaiona kwa imani.

    Tunahitaji mikutano,

    Tubaki katika njia.

    Milele tutatumikia,

    Na watu wake Yehova.

    Daima tutiane moyo,

    Tuwe washikamanifu.

(Ona pia Luka 22:32; Mdo. 14:​21, 22; Gal. 6:2; 1 The. 5:14.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki