-
B12-A Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 1)Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
B12-A
Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 1)
Nisani 8 (Sabato)
MACHWEO (Kwa Wayahudi siku huanza na kwisha jua linapotua)
Awasili Bethania siku sita kabla ya Pasaka
MAPAMBAZUKO
MACHWEO
Nisani 9
MACHWEO
Ala mlo na Simoni mwenye ukoma
Maria ampaka Yesu mafuata ya nardo
Wayahudi waja kumwona Yesu na Lazaro
MAPAMBAZUKO
Yesu aingia Yerusalemu kwa shangwe
Afundisha hekaluni
MACHWEO
Nisani 10
MACHWEO
Alala Bethania
MAPAMBAZUKO
Aenda Yerusalemu mapema
Asafisha hekalu
Yehova azungumza kutoka mbinguni
MACHWEO
Nisani 11
MACHWEO
MAPAMBAZUKO
Afundisha hekaluni, akitumia mifano
Awashutumu Mafarisayo
Asifu mchango wa mjane
Kwenye Mlima wa Mizeituni, atabiri kuanguka kwa Yerusalemu na kutoa ishara ya kuwapo kwake wakati ujao
MACHWEO
-
-
B12-B Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 2)Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
B12-B
Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 2)
Nisani 12
MACHWEO (Kwa Wayahudi siku huanza na kwisha jua linapotua)
MAPAMBAZUKO
Yesu ashinda na wanafunzi wake
Yuda apanga kumsaliti Yesu
MACHWEO
Nisani 13
MACHWEO
MAPAMBAZUKO
Petro na Yohana watayarisha Pasaka
Yesu na mitume wengine wawasili jioni inapokaribia
MACHWEO
Nisani 14
MACHWEO
Yesu ala Pasaka na mitume wake
Awaosha miguu mitume
Amfukuza Yuda
Aanzisha Mlo wa Jioni wa Bwana
Asalitiwa na kukamatwa katika bustani ya Gethsemane
Mitume wakimbia
Aulizwa maswali na Sanhedrini katika nyumba ya Kayafa
Petro amkana Yesu
MAPAMBAZUKO
Asimama tena mbele ya Sanhedrini
Apelekwa kwa Pilato, kisha kwa Herode, arudishwa tena kwa Pilato
Ahukumiwa kifo na kutundikwa Golgotha
Afa karibu saa tisa mchana
Mwili waondolewa na kuzikwa
MACHWEO
Nisani 15 (Sabato)
MACHWEO
MAPAMBAZUKO
Pilato akubali walinzi wawekwe ili kulinda kaburi la Yesu
MACHWEO
Nisani 16
MACHWEO
Manukato zaidi yanunuliwa kwa ajili ya mwili wa Yesu
MAPAMBAZUKO
Afufuliwa
Awatokea wanafunzi wake
MACHWEO
-