Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • rr uku. 5
  • Ufafanuzi wa Sehemu za Pekee

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ufafanuzi wa Sehemu za Pekee
  • Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
rr uku. 5

Ufafanuzi wa Sehemu za Pekee

MASANDUKU YA KUFUNDISHIA

Sanduku la kufundishia lenye namba ya sura na herufi zinazofuatana.

Masanduku ya kufundishia katika kitabu hiki yana namba ya sura ikifuatiwa na herufi zinazofuatana. Kwa mfano, masanduku matatu katika Sura ya 10 yanaitwa 10A, 10B, na 10C. Katika mfumo wa kielektroniki, wasomaji wanaweza kupata masanduku yote pamoja kwenye sehemu inayoitwa “Masanduku ya Kufundishia.” Baadhi ya sehemu za ziada za kitabu hiki zinapatikana tu katika mfumo wa kielektroniki.

MFUATANO WA MATUKIO

Masanduku mengi ya kufundishia yanaonyesha mfuatano wa matukio. Mikunjo, kama iliyo kwenye mfano, inaonyesha kwamba kipindi fulani kimefupishwa ili kitoshee kwenye mchoro. (Kwa mfano, tazama sanduku la 8B.) Katika visa fulani, mikunjo hiyo inaonyesha kipindi chenye urefu usiojulikana.​—Tazama sanduku la 9E.

Mfuatano wa Matukio kuanzia 607 K.W.K na 1914 W.K.

Vifupisho vilivyotumiwa katika kitabu hiki:

  • K.W.K.​—kabla ya Wakati wa Kawaida

  • W.K.​—Wakati wa Kawaida

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki