WIMBO NA. 67
“Lihubiri Neno”
Makala Iliyochapishwa
1. Mungu ametuamuru;
Ametupa kazi ya kufanya.
Sikuzote tuwe tayari,
Kuwapa wengine tumaini.
(KORASI)
Tuhubiri,
Wote tusaidie!
Hubiri,
Mwisho wakaribia.
Hubiri,
Wafundishe wapole.
Hubiri,
Kotekote!
2. Hata tukisumbuliwa;
Upinzani, chuki, na dhihaka.
Japo tunadharauliwa,
Twatumai Mungu bila shaka.
(KORASI)
Tuhubiri,
Wote tusaidie!
Hubiri,
Mwisho wakaribia.
Hubiri,
Wafundishe wapole.
Hubiri,
Kotekote!
3. Mungu atatubariki,
Tutaendelea kufundisha.
Wokovu tutautangaza,
Na jina la Mungu kutakasa.
(KORASI)
Tuhubiri,
Wote tusaidie!
Hubiri,
Mwisho wakaribia.
Hubiri,
Wafundishe wapole.
Hubiri,
Kotekote!
(Ona pia Mt. 10:7; 24:14; Mdo. 10:42; 1 Pet. 3:15.)