A7-E
Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma Kuu ya Yesu Huko Galilaya (Sehemu ya 3) na Huko Yudea
WAKATI  | 
MAHALI  | 
TUKIO  | 
MATHAYO  | 
MARKO  | 
LUKA  | 
YOHANA  | 
|---|---|---|---|---|---|---|
32, baada ya Pasaka  | 
Bahari ya Galilaya; Bethsaida  | 
Akiwa mashuani kuelekea Bethsaida, Yesu aonya kuhusu chachu ya Mafarisayo; amponya mwanamume kipofu  | 
||||
Eneo la Kaisaria Filipi  | 
Funguo za Ufalme; atabiri kifo na ufufuo wake  | 
|||||
Inaelekea ni Ml. Hermoni  | 
Kugeuka-sura; Yehova azungumza  | 
|||||
Eneo la Kaisaria Filipi  | 
Amponya mvulana aliyekuwa na roho mwovu  | 
|||||
Galilaya  | 
Atabiri tena kuhusu kifo chake  | 
|||||
Kapernaumu  | 
Alipa kodi kwa sarafu aliyoitoa kwenye kinywa cha samaki  | 
|||||
Mkuu katika Ufalme; mifano; kondoo aliyepotea na mtumwa asiyesamehe  | 
||||||
Galilaya-Samaria  | 
Wakielekea Yerusalemu, awaambia wanafunzi wake wadhabihu mambo yote kwa ajili ya Ufalme  | 
Huduma ya Yesu ya Baadaye Huko Yudea
WAKATI  | 
MAHALI  | 
TUKIO  | 
MATHAYO  | 
MARKO  | 
LUKA  | 
YOHANA  | 
|---|---|---|---|---|---|---|
32, Sherehe ya Vibanda  | 
Yerusalemu  | 
Afundisha kwenye sherehe; maofisa watumwa ili kumkamata  | 
||||
Asema “Mimi ndiye nuru ya ulimwengu”; amponya mtu aliyezaliwa kipofu  | 
||||||
Inaeleke ni Yudea  | 
Awatuma wale 70; warudi wakishangilia  | 
|||||
Yudea; Bethania  | 
Mfano wa Msamaria mwema; awatembelea Maria na Martha nyumbani  | 
|||||
Inaelekea ni Yudea  | 
Afundisha tena ile sala ya kielelezo; mfano wa rafiki aliyeendelea kuomba  | 
|||||
Afukuza roho waovu kwa kutumia nguvu za Mungu; atoa tena ishara ya Yona  | 
||||||
Ala pamoja na Farisayo; ashutumu unafiki wa Mafarisayo  | 
||||||
Mifano: tajiri asiye na akili na msimamizi nyumba mwaminifu  | 
||||||
Amponya mwanamke kilema siku ya Sabato; mifano ya mbegu ya haradali na chachu  | 
||||||
32, Sherehe ya Wakfu  | 
Yerusalemu  | 
Mchungaji mwema na zizi la kondoo; Wayahudi wajaribu kumpiga mawe; avuka Yordani aenda Bethania  |