Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g04 3/22 uku. 32
  • Usiku wa Kukumbukwa—Jumapili, Aprili 4, 2004

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Usiku wa Kukumbukwa—Jumapili, Aprili 4, 2004
  • Amkeni!—2004
Amkeni!—2004
g04 3/22 uku. 32

Usiku wa Kukumbukwa—Jumapili, Aprili 4, 2004

KATIKA usiku uliotangulia kifo chake, Yesu Kristo alianzisha Ukumbusho wa kifo chake. Katika mlo sahili pamoja na mitume wake ambapo alitumia divai na mkate usiotiwa chachu kama mifano, Yesu aliamuru hivi: “Endeleeni kufanya hivi kwa kunikumbuka mimi.”—Luka 22:19.

Mashahidi wa Yehova wanakualika ujiunge nao katika Ukumbusho huo wa kila mwaka. Mwaka huu utaadhimishwa baada ya jua kutua Jumapili, Aprili 4, tarehe inayolingana na Nisani 14 katika kalenda ya Biblia. Tafadhali wasiliana na Mashahidi wa Yehova wa kwenu ili ujue mahali na saa barabara.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki