Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g05 3/22 uku. 32
  • Mkaribie Muumba

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mkaribie Muumba
  • Amkeni!—2005
Amkeni!—2005
g05 3/22 uku. 32

Mkaribie Muumba

Mtu mmoja huko California, Marekani, aliandika hivi baada ya kusoma kitabu Mkaribie Yehova: “Ningependa kuwaeleza jinsi kusoma na kutafakari kuhusu kitabu hiki kumeboresha maisha yangu na uhusiano wangu na Baba yangu wa mbinguni. Sasa ninahisi kwamba Yehova ni rafiki yangu. Hiki ndicho kitabu cha kwanza kunifanya nicheke, nilie, nistaajabu, na kusali kwa Yehova papo hapo. Ninampenda Yehova sana nami najua kwamba kitabu hiki kimenisaidia nihisi hivyo.”

Tuna hakika kwamba wewe pia utanufaika kwa kusoma kitabu Mkaribie Yehova kilicho na kurasa 320. Unaweza kuomba kitabu hicho kwa kujaza sehemu iliyo hapa juu na kuituma ukitumia anwani iliyoonyeshwa au anwani ifaayo kati ya zile zilizoorodheshwa kwenye ukurasa wa 5 wa gazeti hili.

□ Ningependa kupokea kitabu Mkaribie Yehova bila malipo. Andika lugha unayotaka.

□ Ningependa kujifunza Biblia nyumbani kwangu bila malipo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki