Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g05 4/8 uku. 32
  • Majibu yenye kutumika kwa maswali yako!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Majibu yenye kutumika kwa maswali yako!
  • Amkeni!—2005
Amkeni!—2005
g05 4/8 uku. 32

Majibu yenye kutumika kwa maswali yako!

• Mbona wazazi wangu hawanielewi?

• Kwa nini Baba na Mama waliachana?

• Naweza kufanyaje marafiki wa kweli?

• Kwa nini ninashuka moyo sana?

• Kwa nini watoto hawaniachi tu?

• Vipi juu ya ngono kabla ya ndoa?

Kitabu Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi hakina kifani kikilinganishwa na vitabu vingine vilivyotayarishwa kwa ajili ya vijana. Ni kitabu kilichotayarishwa kwa kutegemea mazungumzo pamoja na vijana wengi ulimwenguni pote. Na majibu yake, yanayotegemea Neno la Mungu, Biblia, yanafanya kazi kwelikweli! Maswali yaliyo juu ni baadhi tu ya mengi yanayojibiwa katika kitabu hicho chenye kurasa 320.

Ikiwa ungependa kupata nakala, jaza sehemu iliyo hapa chini na kuituma ukitumia anwani iliyoonyeshwa au anwani ifaayo kati ya zile zilizoorodheshwa kwenye ukurasa wa 5 wa gazeti hili.

□ Ningependa kupokea nakala ya kitabu Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi bila malipo. Andika lugha unayotaka.

□ Ningependa kujifunza Biblia nyumbani kwangu bila malipo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki