Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g05 9/8 uku. 32
  • Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai?
  • Amkeni!—2005
Amkeni!—2005
g05 9/8 uku. 32

Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai?

◼ Wanafalsafa, wanatheolojia, na watu wa kawaida wametafuta jibu la swali hilo kwa miaka mingi. Lakini hawajafanikiwa. Hivyo, wengi wamekata kauli kwamba swali hilo haliwezi kujibiwa. Hata hivyo, jibu linaweza kupatikana. Ingawa swali hilo lilikuwa gumu, halikuwa lenye kutatanisha.

Jibu linapatikana katika Biblia. Ili kufurahia maisha yenye kusudi, ni muhimu kujifunza sababu inayomfanya Mungu aruhusu kuteseka kwingi na ukosefu wa haki, kisha usitawishe uhusiano mzuri na yeye. Lakini mtu anawezaje kufanya hivyo? Broshua yenye kurasa 32, Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai? Wewe Waweza Kulipataje? imewasaidia watu wengi kufanya hivyo.

Unaweza kuomba broshua hiyo kwa kujaza sehemu iliyo hapa chini na kuituma ukitumia anwani iliyoonyeshwa au anwani ifaayo kati ya zile zilizoorodheshwa kwenye ukurasa wa 5 wa gazeti hili.

□ Ningependa kupokea broshua Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai? Wewe Waweza Kulipataje? bila malipo.

□ Ningependa kujifunza Biblia nyumbani kwangu bila malipo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki