Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 3/07 uku. 32
  • Tukio Ambalo Hupaswi Kulikosa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tukio Ambalo Hupaswi Kulikosa
  • Amkeni!—2007
Amkeni!—2007
g 3/07 uku. 32

Tukio Ambalo Hupaswi Kulikosa

“Endeleeni kufanya hivi kwa kunikumbuka mimi.” Yesu Kristo, Bwana wetu alisema maneno hayo ambayo yanapatikana kwenye Luka 22:19, alipoanzisha Ukumbusho wa kifo chake. Ni kifo cha Yesu ambacho kiliwafungulia wanadamu tumaini la kupata uzima wa milele katika Paradiso. Hivyo tunapaswa kukumbuka kifo chake.

Je, utahudhuria Ukumbusho huo mwaka huu?

Tafadhali, pokea mwaliko huu kutoka kwa Mashahidi wa Yehova na ujiunge nao katika kuadhimisha tukio hilo muhimu. Mwadhimisho huo utakuwa baada ya jua kushuka katika tarehe inayolingana na Nisani 14 kwenye kalenda ya Biblia. Mwaka huu tarehe ya ukumbusho huo ni Jumatatu, Aprili 2. Mashahidi wa Yehova katika eneo lenu wanaweza kukuambia mahali na saa ambayo tukio hilo litafanyika.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki