Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 5/09 kur. 11-31
  • Ungejibuje?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ungejibuje?
  • Amkeni!—2009
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Ilitukia Wapi?
  • Katika Toleo Hili
  • Watoto Watafute Picha
  • Unajua Nini Kuhusu Manabii?
  • MAJIBU YA UKURASA WA 31
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2009
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2009
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2009
g 5/09 kur. 11-31

Ungejibuje?

Ilitukia Wapi?

1. Mwamba ambao Musa aliupiga uwatolee Waisraeli maji ulikuwa wapi?

DOKEZO: Soma Hesabu 20:1-8.

Chora mviringo kwenye jibu lako katika ramani.

Kadeshi

Refidimu

Ml. Sinai (Horebu)

◼ Musa na Haruni walifanya kosa gani, nao walipewa adhabu gani?

․․․․․

DOKEZO: Soma Hesabu 20:9-13; Zaburi 106:32, 33.

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Unafikiri ni kwa nini Musa aliwakasirikia Waisraeli? Kwa nini ni muhimu kudhibiti hasira yako?

Katika Toleo Hili

Jibu maswali haya na utaje mistari ya Biblia ambayo haijaonyeshwa.

UKURASA WA 7 Mashirika mabaya yatakuathirije? 1 Wakorintho 15:________

UKURASA WA 8 Wenye furaha ni watu wanaotambua nini? Mathayo 5:________

UKURASA WA 13 Namna yetu ya maisha inapaswa kuwa bila nini? Waebrania 13:________

UKURASA WA 18 Upendo haukosi nini? 1 Wakorintho 13:________

Watoto Watafute Picha

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

Unajua Nini Kuhusu Manabii?

Soma Amosi 7:10-17, kisha ujibu maswali yafuatayo.

2. ․․․․․

Kuhani Amazia alimshtaki Amosi kuhusu kosa gani?

3. ․․․․․

Ni sifa gani mbili ambazo Amosi anaonyesha anapojibu dhihaka za Amazia?

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Je, unapaswa kuacha kuzungumza kuhusu Yehova kwa sababu tu watu fulani wanakudhihaki? Kwa nini?

◼ Majibu kwenye ukurasa wa 11

MAJIBU YA UKURASA WA 31

1. Kadeshi.

◼ Musa alizungumza bila kufikiri, naye na Haruni hawakumtukuza Yehova, kwa hiyo hawakuruhusiwa kuingia Nchi ya Ahadi.

2. Alipanga njama dhidi ya mfalme.

3. Unyenyekevu na ujasiri.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 31]

Map: Based on maps copyrighted by Pictorial Archive (Near Eastern History) Est. and Survey of Israel

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki