Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 1/11 uku. 32
  • “Nililia Nilipokisoma”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Nililia Nilipokisoma”
  • Amkeni!—2011
Amkeni!—2011
g 1/11 uku. 32

“Nililia Nilipokisoma”

● Hivyo ndivyo mwanamke mmoja huko Illinois, Marekani, alivyoandika kuhusu kitabu Yule Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi. Alieleza hivi katika barua yake kwa wachapishaji wa kitabu hicho, “Ninatumaini na kusali kwamba watu wengi zaidi watafurahia kusoma kumhusu Yesu kama mimi nilivyofurahia.”

Kitabu Mtu Mkuu kinatoa masimulizi ya maisha ya Yesu kwa kutegemea maandishi wanaume wanne walioongozwa na roho ya Mungu walioishi wakati mmoja naye, yaani, Mathayo, Marko, Luka, na Yohana. Mathayo na Yohana walikuwa mitume na walisafiri pamoja na Yesu. Marko alikuwa rafiki wa karibu wa Petro, mmoja wa mitume wa Yesu. Na tabibu Luka alikuwa mwandamani wa mtume Paulo.

Ikiwa ungependa kupokea kitabu hicho kilicho na picha nyingi bila malipo, tafadhali jaza sehemu iliyoonyeshwa hapa chini na kuituma ukitumia anwani iliyoonyeshwa au anwani ifaayo kati ya zile zilizoorodheshwa kwenye ukurasa wa 5 wa gazeti hili.

□ Bila masharti, ningependa kupokea kitabu kilichoonyeshwa hapa.

□ Ningependa kujifunza Biblia nyumbani kwangu bila malipo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki