Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 3/12 uku. 32
  • Unamwonaje Yesu?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unamwonaje Yesu?
  • Amkeni!—2012
Amkeni!—2012
g 3/12 uku. 32

Unamwonaje Yesu?

Je, wewe humwona Yesu kama mtoto ambaye ametoka tu kuzaliwa, mwanamume anayekaribia kufa, au Mfalme aliyekwezwa?

Biblia inafunua kwamba Yesu ni Mfalme mwenye nguvu nyingi. Lakini hilo lina maana gani kwako?

Watu wengi wanaamini kwamba Yesu alikufa kwa ajili yao. Hata hivyo, ni kwa njia gani tunaweza kupata uzima leo kupitia kifo cha mtu mmoja aliyekufa karibu miaka 2,000 iliyopita?

Unaalikwa kwa moyo mkunjufu usikilize majibu ya Kimaandiko ya maswali hayo. Majibu hayo yatatolewa wakati Mashahidi wa Yehova watakapokusanyika kuadhimisha kifo cha Yesu Alhamisi, Aprili 5, baada ya jua kutua.

Tafadhali waulize Mashahidi wa Yehova walio karibu nawe kuhusu saa hususa na mahali pa kukutania.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki