Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 4/12 uku. 32
  • Je, Mungu wa Kweli Anaweza Kupatikana?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Mungu wa Kweli Anaweza Kupatikana?
  • Amkeni!—2012
Amkeni!—2012
g 4/12 uku. 32

Je, Mungu wa Kweli Anaweza Kupatikana?

● Katika historia yote, watu wengi wamejaribu kumtafuta Mungu wa kweli. Jitihada zao zimewaacha katika njia panda, kama inavyodhihirishwa na kuwepo kwa dini nyingi, na madhehebu mbalimbali ulimwenguni leo. Lakini unawezaje kumpata Mungu wa kweli?

Kitabu Jitihada ya Ainabinadamu ya Kutafuta Mungu kinaweza kukusaidia. Mwandishi mmoja maarufu nchini Mexico aliandika hivi: “Kinapolinganishwa na vitabu vingine, ni kidogo sana, lakini kimsingi, kinazungumzia suala zito sana. Kinaweza kubebwa mfukoni, lakini katika maktaba yenye vitabu 90,000 tofauti-tofauti, huenda kingekuwa ndicho muhimu kuliko vyote.”

Unaweza kuomba kitabu hicho chenye kurasa 384 kwa kujaza sehemu iliyoonyeshwa hapa chini na kuituma kwa anwani inayofaa kati ya zile zilizoorodheshwa kwenye ukurasa wa 5 wa gazeti hili.

□ Bila masharti, ningependa kupokea kitabu kilichoonyeshwa hapa.

□ Ningependa kujifunza Biblia nyumbani kwangu bila malipo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki