Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g23 Na. 1 uku. 16
  • Katika Gazeti Hili la Amkeni!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Katika Gazeti Hili la Amkeni!
  • Amkeni!—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2023
  • Utangulizi
    Amkeni!—2023
  • Mungu Anaahidi Kwamba Dunia Yetu Itaokoka
    Amkeni!—2023
  • Dunia iliumbwa kwa kusudi gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2023
g23 Na. 1 uku. 16
Moshi wa viwandani ukichafua mazingira.

Xuanyu Han/Moment via Getty Images

Katika Gazeti Hili la Amkeni!

Dunia iko hatarini.

Je, itaokoka au tutaangamia pamoja nayo? Soma makala zilizoorodheshwa hapa, na ujifunze kile kinachoipata dunia yetu na ikiwa tuna sababu za kuwa na tumaini.

Kuna tumaini gani kwa wakati ujao wa

  • Maji safi?

  • Bahari?

  • Misitu?

  • Hewa?

JIFUNZE MENGI ZAIDI

Mwanamke akichukua Biblia kutoka katika kabati lenye vitabu.

Mamilioni ya watu wanaamini kabisa ahadi iliyo katika Biblia ya dunia itakayokuwa na watu wenye furaha na watakaoishi milele. Tazama video, Tunawezaje Kuwa na Hakika Kwamba Yale Yaliyoandikwa Katika Biblia Ni ya Kweli? katika jw.org/sw.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki