Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yp2 kur. 4-5
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Vichwa vidogo
  • SEHEMU YA 1
  • SEHEMU YA 2
  • SEHEMU YA 3
  • SEHEMU YA 4
  • SEHEMU YA 5
  • SEHEMU YA 6
  • SEHEMU YA 7
  • SEHEMU YA 8
  • SEHEMU YA 9
Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
yp2 kur. 4-5

Yaliyomo

6 Dibaji: Ninaweza Kupata Wapi Mashauri Bora?

SEHEMU YA 1

WATU WA JINSIA TOFAUTI

14 1 Je, Niko Tayari Kuanzisha Urafiki wa Kimapenzi?

21 2 Kuna Ubaya Gani Kuwa na Urafiki wa Kimapenzi wa Siri?

28 3 Je, Ananifaa?

42 4 Ni Wakati Gani Ambapo Mtu Anakuwa Amepita Mipaka?

48 5 Kwa Nini Uendelee Kuwa Bikira?

SEHEMU YA 2

MABADILIKO YA MAISHA

58 6 Kwa Nini Mwili Wangu Unabadilika?

67 7 Nifanye Nini Ikiwa Sipendi Umbo Langu?

74 8 Mbona Niwe Mgonjwa Hivi?

SEHEMU YA 3

MARAFIKI

86 9 Nifanye Nini Ili Kujiondolea Upweke?

92 10 Mbona Rafiki Yangu Ananitendea Hivi?

99 11 Kuna Ubaya Kufanya Urafiki Kupitia Intaneti?

105 12 Porojo Ina Ubaya Gani?

SEHEMU YA 4

SHULE NA WANAFUNZI WENZAKO

114 13 Nifanye Nini Ili Nifanikiwe Shuleni?

121 14 Naweza Kujilinda Jinsi Gani Shuleni?

128 15 Nitashindaje Mkazo Kutoka Kwa Vijana Wenzangu?

136 16 Kuwa na Nyuso Mbili—Kuna Ubaya Gani?

142 17 Marafiki Shuleni—Kuna Uhitaji Wowote wa Kuwa Mwangalifu?

SEHEMU YA 5

PESA

150 18 Nitapata Pesa Wapi?

156 19 Ninaweza Kupangaje Matumizi ya Pesa Zangu?

165 20 Nifanyeje Ikiwa Sisi Ni Maskini?

SEHEMU YA 6

WAZAZI WAKO

174 21 Nifanye Nini Ninapolaumiwa?

181 22 Kwa Nini Kuna Sheria Nyingi Sana?

190 23 Nifanye Nini Ikiwa Mzazi Wangu Ni Mraibu wa Dawa za Kulevya au Pombe?

199 24 Nifanye Nini Wazazi Wangu Wanapogombana?

208 25 Ninaweza Kuwa na Furaha Katika Familia ya Mzazi Mmoja?

SEHEMU YA 7

HISIA ZAKO

218 26 Ninaweza Kudhibiti Jinsi Gani Hisia Zangu?

225 27 Kwa Nini Siridhiki?

231 28 Nifanye Nini Ikiwa Ninavutiwa na Watu wa Jinsia Yangu?

237 29 Nifanye Nini Ili Niache Kufikiria Ngono Saa Zote?

SEHEMU YA 8

BURUDANI

246 30 Nicheze Michezo ya Kompyuta?

253 31 Ninaweza Kuwa na Usawaziko Jinsi Gani Kuhusu Muziki?

263 32 Ninaweza Kujifurahisha Jinsi Gani?

273 33 Kwa Nini Niepuke Ponografia?

SEHEMU YA 9

UKUZI WA KIROHO

282 34 Kwa Nini Niishi Kulingana na Viwango vya Biblia?

289 35 Ninaweza Kuwa Rafiki ya Mungu Jinsi Gani?

297 36 Ninaweza Kuitetea Jinsi Gani Imani Yangu Katika Mungu?

304 37 Nibatizwe?

311 38 Nitayatumiaje Maisha Yangu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki