Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • scl uku. 123
  • Woga

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Woga
  • Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
scl uku. 123

Woga

Woga usiofaa; hofu

Kum 20:8; Amu 7:3; Met 29:25

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • Kut 32:​1-4, 21-24—Haruni anawaogopa wanadamu anaposhinikizwa atengeneze sanamu ya ndama ya dhahabu

    • Mk 14:​50, 66-72—Kwa sababu ya kuogopa wanadamu, mitume wote wanamwacha Yesu na kukimbia, na baadaye Petro anamkana Kristo

  • Maandiko yenye kufariji:

    • Isa 35:4; 41:​10, 13; Ebr 13:6

    • Tazama pia Ufu 2:10

  • Masimulizi ya Biblia yenye kufariji:

    • 2Nya 20:​1-17, 22-24—Mfalme Yehoshafati na watu wengine wote wa Mungu wanamwogopa adui mkubwa na mwenye nguvu, lakini Yehova anawatia moyo watumishi wake na kuwaokoa

    • Lu 12:​4-12—Yesu anawafundisha wafuasi wake kwa nini hawahitaji kuogopa wanadamu au kuhofu kuhusu kutetea imani yao mbele ya wenye mamlaka serikalini

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki