Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • scl kur. 36-37
  • Kujizuia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kujizuia
  • Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
scl kur. 36-37

Kujizuia

Yehova anaonyeshaje sifa ya kujizuia?

Yer 18:​7, 8; 2Pe 3:9

Ni katika sehemu gani za maisha yetu tunahitaji sifa ya kujizuia?

Met 16:32; 25:28; 1Ko 9:​25, 27

Tazama pia 2Ti 2:​23-25; Tit 1:​7, 8

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • 2Sa 16:​5-14—Mfalme Daudi anaonyesha sifa ya kujizuia Shimei anapomtukana na kumvunjia heshima sana

    • 1Pe 2:​21-23—Mtume Petro anaelezea jinsi Yesu alivyoonyesha sifa ya kujizuia kwa njia ya pekee alipochokozwa na kuteswa

Ni nini kitakachotusaidia kuimarisha sifa yetu ya kujizuia?

Lu 11:​9-13; Gal 5:​22, 23; Efe 4:​23, 24; Kol 4:2

  • Simulizi la Biblia linalohusika:

    • Lu 11:​5-8—Yesu anakazia umuhimu wa kuendelea kuomba ili tupate msaada

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki