Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • scl uku. 30
  • Kudanganya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kudanganya
  • Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
scl uku. 30

Kudanganya

Yehova anahisije kuhusu watu ambao hawatimizi ahadi zao?

Ro 1:​31, 32

Tazama pia Zb 15:4; Mt 5:37

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • Kut 9:​27, 28, 34, 35—Farao anaahidi kuwaruhusu watu wa Mungu waende zao; kisha, anakosa kutimiza ahadi hiyo

    • Eze 17:​11-15, 19, 20—Yehova anamwadhibu Mfalme Sedekia kwa kuvunja kiapo chake na agano lake pamoja na Mfalme wa Babiloni

    • Mdo 5:​1-10—Anania na Safira wanadanganya, wakidai kwamba wamelipatia kutaniko pesa zote walizopata baada ya kuuza shamba

Yehova anahisije kuhusu watu wanaowachongea wengine?

Zb 15:​1-3; Met 6:​16-19; 16:28; Kol 3:9

Tazama pia Met 11:13; 1Ti 3:11

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • 2Sa 16:​1-4; 19:​24-30—Mefiboshethi ambaye ni mwaminifu anachongewa na mtumishi wake, Siba

    • Ufu 12:​9, 10—Ibilisi, au Mchongezi, anawashtaki watumishi wa Mungu bila kuacha

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki