BIBLIA (Hati za Kale)
(Ona pia Biblia, Tafsiri za; Biblia, Usahihi wa; Kodeksi; Vitabu vya Kukunjwa vya Bahari ya Chumvi)
(Kuna vichwa vidogo: Maandiko ya Kiebrania; Maandiko ya Kiebrania Pamoja na Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo; Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo)
Firkovich, Abraham:
aiuzia Maktaba ya Milki ya Urusi hati za kale za Biblia: w05 7/15 12-13
hati za awali zimetoweka:
zilivyotoweka: w98 4/1 11-12; ba 7
hati za kale kuliko zote: w07 3/15 18
hati za kale zilipoandikwa: w09 10/1 20; g 2/08 19-22; ba 8
hati zenye maandishi yaliyofutwa na kuandikwa habari nyingine: w09 9/1 16
Hexapla (Origen): w01 7/15 30
idadi ya hati za kale: rs 38; gu 30; w97 10/1 12; w97 10/15 11
Maandiko ya Kikristo: w97 10/1 12
tofauti kati ya Biblia na maandishi mengine ya kale: w09 11/1 13-14
tofauti kati ya Biblia na maandishi ya Wagiriki na Waroma wa kale: g96 2/8 10
jina la Mungu:
Hexapla (Origen): w01 7/15 31
Mafunjo ya Fouad: w08 8/1 18
Mafunjo ya Nash: w08 8/1 18
Septuajinti: w10 7/1 6; w09 4/1 30; w08 8/1 18; bi12 1956-1957; w02 6/1 30; w02 9/15 28-29
karne ya kwanza:
waliokuwa na hati za Biblia: w11 6/15 18; w07 12/1 32
kazi ya kunakili: w98 4/1 12; ba 7
kitabu cha Injili cha kale kuliko vyote: w98 12/15 29; w96 2/15 32
kitabu cha kale cha Zaburi chapatikana katika kinamasi nchini Ireland (2006): g 11/07 30
Maandiko ya Kiebrania:
nakala ambazo bado ziko: rs 38
Maandiko ya Kikristo:
jina la Mungu: w08 8/1 19-20, 22
nakala ambazo bado ziko: rs 38; w97 10/1 12
usahihi: gu 30; g98 4/22 28
maandishi ya Wamasora: g 11/07 12-13
Maktaba ya Chester Beatty (Ireland): w04 9/15 29-31
Maktaba ya Kitaifa ya Urusi (St. Petersburg): w05 7/15 10-13
Mlima Athos, Ugiriki: w99 12/1 31
Septuajinti: w02 9/15 28-29
tafsiri za kale za Kilatini (Vetus Latina): w09 4/1 20
usahihi: w09 11/1 13-14; w07 3/15 19-20; g 11/07 12-13; rs 37-38; w98 4/1 11-12; w97 10/1 12; w97 10/15 11; ba 7-9
maelezo kwa Waislamu: gu 30-31
maelezo ya Bwana Frederic Kenyon: g 11/07 13
maelezo ya Dakt. Barbara Aland: g98 4/22 28
maelezo ya F. F. Bruce: w97 10/15 11
maelezo ya Profesa Julio Trebolle Barrera: w01 2/15 6
maelezo ya W. H. Green: g 11/07 13
usahihi wa Biblia kwa kulinganishwa na maandishi mengine ya kale: w09 11/1 14; g96 2/8 10
Wamasora: w98 4/1 12; ba 7
zinathibitisha kwamba Biblia haijabadilishwa: rs 37-38
Maandiko ya Kiebrania
Ambrosian O 39 sup.:
jina la Mungu: g01 7/22 25
Kodeksi ya Leningrad B 19A: w05 7/15 12-13
jina la Mungu: w05 7/15 13
Kodeksi ya Petersburg (Leningrad) ya Manabii wa Mwisho: w05 7/15 12
mafunjo ya Chester Beatty:
Mwanzo: w04 9/15 30
Mafunjo ya Fouad:
picha ya Mafunjo ya Fouad 266: w08 8/1 18
Mafunjo ya Nash:
jina la Mungu: w08 8/1 18
mafunjo ya Oxyrhynchus:
kitabu cha Ayubu chenye jina la Mungu katika Septuajinti: w02 6/1 30
Vitabu vya Kukunjwa vya Bahari ya Chumvi (Qumran): w01 2/15 3-7
Zaburi (picha): g99 3/8 26
Isaya, hati ya kwanza: g 2/08 20; w01 2/15 6; ct 109-110; ba 8
Isaya, hati ya kwanza, alama ya “X” pambizoni mwa sura ya 32: ip-1 329-331
Isaya, hati ya kwanza, picha ya 12:4, 5: ip-1 170
Danieli: dp 27
uchunguzi wa chembe za urithi (DNA) unasaidia kuunganisha vipande vya hati: g96 2/8 28
vinavyolingana na maandishi ya baadaye: w01 2/15 6
“Wimbo wa Baharini” (Kut 13:19–16:1): w08 11/15 32
Maandiko ya Kiebrania Pamoja na Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
Kodeksi Amiatinus: w01 5/1 29-30
Kodeksi Grandior: w01 5/1 29-30
Kodeksi ya Aleksandria (Hati ya Aleksandria): g01 10/8 13; w00 2/15 28
ilipoandikwa: g 2/08 21-22
jina la Mungu limeondolewa: w08 8/1 19
picha: w08 8/1 19
Kodeksi ya Efraemi (Syri) (hati zenye maandishi yaliyofutwa na kuandikwa habari nyingine): w09 9/1 16-17
picha: w09 9/1 16
Kodeksi ya Sinai (Hati ya Sinai): g01 10/8 13
ilipoandikwa: g 2/08 22
mahali inapohifadhiwa: w05 7/15 13; g99 4/22 18
picha: w09 9/1 17
Tischendorf aipata: g 2/08 19; w05 7/15 10-11; g99 4/22 18; w97 10/15 11
umuhimu: w97 10/15 11
Kodeksi ya Vatikani (Hati ya Vatikani 1209): w10 3/1 10; w09 10/1 18-20; w09 12/15 3; g01 10/8 13
ilipoandikwa: g 2/08 22
Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
Chuo cha Magdalen (Oxford, Uingereza):
kipande cha hati ya Mathayo (P64): w98 12/15 29; w96 2/15 32
Hati ya Washington ya Vitabu Vinne vya Injili (Codex Washingtonianus I): w11 3/1 2-3
mafunjo ya Bodmer:
Mafunjo ya Bodmer 14, 15: w10 3/1 10
mafunjo ya Chester Beatty: w04 9/15 30-31
Ephraem anukuu Diatessaron: w04 9/15 30-31
Mafunjo ya Chester Beatty 1 (P45): w04 9/15 31
Mafunjo ya Chester Beatty 2 (P46): w04 9/15 30
Maktaba ya John Rylands:
Mafunjo Na. 457 ya John Rylands: w10 3/1 9; g 2/08 22