MINARA
majengo (minara) ya World Trade Center (Marekani):
yaporomoka kwa sababu ya shambulio la magaidi (2001): g03 6/22 12; g02 1/8 3-8, 10-12
minara ya mfano:
jina la Yehova (Met 18:10): w04 8/15 18; be 274-275; cl 70; w98 9/1 10; w98 12/15 30
mnara kwenye Mlango-Bahari wa Bosporus, Uturuki: g03 3/8 25-27
Mnara Unaoegemea wa Pisa (Italia):
jitihada za kuuimarisha: g00 9/22 29; g97 12/8 28
Mnara wa Crest (Ufaransa): g01 4/22 31
Mnara wa London: g04 6/8 12-15
Yerusalemu:
mnara wa Siloamu (Lu 13:4): cf 126