HATI ZA MALALAMIKO NA ZA KUTOA OMBI
(Ona pia Malalamiko)
Estonia:
Mashahidi watuma hati ya malalamiko kwa Stalin (1949): yb11 186, 244; g99 2/22 12
Georgia:
watu wapinga kuteswa kwa Mashahidi (2001): g02 1/22 23-24
Guyana:
ombi la kuondoa marufuku juu ya vitabu vya Mashahidi wa Yehova (1946): yb05 146-147
Kanada:
watu watoa ombi la Taarifa ya Haki za Kibinadamu (1947, 1948): jv 689
Marekani:
hati ya kuomba mjadala kati ya Rutherford na ofisa mkuu wa Kanisa Katoliki (1936): jv 573
hati ya kuomba Rutherford na wawakilishi wengine wa Shirika la Watch Tower waachiliwe kutoka gerezani (1919): jv 74-75
Urusi:
Baraza la Mawaziri laandikiwa hati ya malalamiko (1956-1957): yb08 111, 229
Bulganin aandikiwa hati ya kuomba Mashahidi waandikishwe kisheria (1956-1957): g99 4/22 23-24
Putin aandikiwa hati ya malalamiko kuhusu marufuku huko Moscow (2004): w11 7/15 8