MAPISHI
barafu ya stafeli: g02 5/22 15
blini (chapati za maji za Urusi): g05 12/22 18
brunost (jibini ya kahawia ya Norway): g97 7/8 25
chapati za tapioca: g05 8/22 24
gazpacho (mchuzi wa nyanya): g02 7/22 26
guacamole (parachichi lililopondwa): g00 7/22 30
huitlacoche (mahindi yenye uyoga): g01 12/8 15
kimchi (kabichi iliyochachishwa): g05 7/8 23
mchuzi unaotiwa siagi ya karanga (njugu): g99 8/22 27
mkate:
usiotiwa chachu kwa ajili ya Ukumbusho: w03 2/15 14-15
ngunza (mchuzi wa majani ya muhogo): g96 7/8 21
nyama choma ya ng’ombe (gaucho wanavyoichoma): g05 7/8 26
nyanya: g05 3/8 23
supu ya Hungaria: g01 4/22 30; g00 9/8 11
wali na nyama ya ng’ombe iliyokaushwa juani (gaucho wanavyoipika): g05 7/8 26