MABAKI YA MIMEA NA VIUMBE HAI WA KALE (Visukuku)
(Ona pia Mageuzi, Nadharia ya; Sayansi ya Miamba ya Dunia [Jiolojia])
(Kuna kichwa kidogo: Hakuna Mabaki ya Viumbe Hai [Visukuku] Waliokuwa Katika Hatua ya Kugeuka)
chaza wakubwa katika Milima ya Andes: g01 9/8 29
kilichofanya mifupa fulani isioze: g 5/09 17
kipindi cha Kambria: lf 22-24; rs 163-164
kuna mabaki ya kutosha ya viumbe hai na mimea: lc 22; rs 163
manukuu:
inaweza kusemwa kwamba hali hiyo inapatana na lile wazo la uumbaji: rs 163
kwa msingi wa yale ambayo kwa kweli yanapatikana udongoni, ile nadharia ya uumbaji wa ghafula inafaa zaidi: rs 163-164
rekodi ya mawe ya wakati huo haikuonyesha na ingali haionyeshi kwamba viumbe vilitokea kwa njia ya mageuzi ya hatua kwa hatua na vinaendelea kufanya hivyo: rs 163
spishi zinaonekana ghafula na kuwa na mabadiliko madogo: lf 23
msitu wa mvua uliozikwa (Marekani): g 3/08 27
nadharia ya mageuzi: lf 23-27; g 9/06 16-17; rs 162-164
mabaki ya viumbe waliokuwa katika hatua ya kugeuka hayajapatikana: lc 22; lf 25; g04 6/22 7-8
nyani-mtu: lf 27-29; rs 164-165
Homo habilis waliishi wakati uleule wa Homo erectus: g 4/08 30
michoro na sanamu za nyani-mtu: lf 28-29; rs 164-165
mtu wa Neanderthal: lf 28
ukubwa wa ubongo: lf 28
udanganyifu:
dinosau/ndege (China): g 7/07 24; g00 7/22 28
mabaki bandia ya ichthyosaurus (Wales): g01 8/22 28
mtu wa Piltdown: g97 7/8 31
Ulaya: g 5/09 15-17
viumbe hai walitokea ghafula: lf 23-24; rs 163-164
wadudu:
kereng’ende: g97 6/22 18
yanaharibika kwa sababu ya utalii: g99 10/22 28-29
yanathibitisha kwamba Gharika ilikuwa tukio halisi: g 5/09 16-17
Hakuna Mabaki ya Viumbe Hai (Visukuku) Waliokuwa Katika Hatua ya Kugeuka
mabaki ya viumbe wa kale (visukuku) hayathibitishi mageuzi: lf 25
nyani-mtu: rs 164-165
mtu wa Neanderthal: g 11/11 29; lf 28
uchunguzi kuhusu mwanzo wa—
mwanadamu: lf 27-28
viumbe hai wa kwanza: rs 163-164