KUAMULIWA MAPEMA (Kuamuliwa Kimbele)
(Ona pia Kuagiza Kimbele; Majaliwa; Uhuru wa Kuchagua; Ujuzi wa Mapema [Ujuzi wa Kimbele])
hakupatani na uhuru wa kuchagua: w05 1/15 4-5; cl 178
ikiwa nyota zinaweza kuamua wakati ujao: g 10/12 22-23
maandiko ambayo yamefafanuliwa isivyofaa:
Mhubiri 3:2: w09 4/1 26; rs 169
maelezo: w09 4/1 26; g 2/09 12-13; g 5/07 12-13; w05 1/15 4-7; rs 171-175
maisha ya mtu mmoja-mmoja hayaamuliwi mapema (kimbele): rs 172-175
Adamu na Hawa: rs 172-173
Wakristo watiwa-mafuta: w05 1/15 5-6; rs 174-175
Yakobo na Esau: rs 173
Yuda Iskariote: rs 173-174
maoni ya—
Agostino: w96 9/1 3-4
Calvin: w98 4/15 4; w96 9/1 4
Wafuasi wa Dini ya Calvin: w10 9/1 21; w10 12/15 6
ni fundisho lisilopatana na akili: w98 8/15 30
ni kinyume cha upendo wa Mungu: cl 178
ni tofauti na ujuzi wa mapema (ujuzi wa kimbele): rs 171-172