NYOTA
(Ona pia Jua; Makundi ya Nyota [Galaksi]; Makundi ya Nyota [Mipangilio Inayoonekana Duniani]; Nyota, Elimu ya; Nyota za Asubuhi; Ulimwengu [Sayari na Nyota]; Unajimu; Vituo vya Kuchunguzia Anga)
(Kuna kichwa kidogo: Nyota Mbalimbali)
bluu nyangavu yenye kubadilika-badilika: g98 7/22 29
idadi ya nyota: cl 49-51; ct 15, 182
inayoonekana duniani kwa darubini: w04 6/1 11; g04 4/22 28
katika Kilimia: w08 8/15 13; ct 15
yalinganishwa na mchanga (Mwa 22:17; Yer 33:22): w04 6/1 11; cl 49-50
makala za Amkeni! zathaminiwa: g97 12/22 30
makundi ya nyota yenye umbo la mviringo: g98 12/8 31
maoni ya Biblia: g 10/12 22-23
mashimo meusi: g98 7/22 14-16
mazungumzo: g 2/12 15-17
mbilikimo mweupe (nyota inayoelekea kuzimika): g98 7/22 16; g96 7/8 28
mlipuko wa nyota (supernova): g 8/09 18; g03 6/8 16; g96 1/22 8
nyota iliyo mbali zaidi na dunia kuliko zote (1995): ct 11
Wachina waliuona (1054): g96 1/22 8
Mungu anajua jina la kila nyota (Zb 147:4; Isa 40:26): w05 2/1 5; cl 50-51
nyota za mfano:
“nyota iliyokuwa imeanguka kutoka mbinguni” (Ufu 9:1): re 143
nyota inayowaka yaanguka (Ufu 8:10): re 136-138
“nyota itatokea katika Yakobo” (Hes 24:17): re 53
“nyota saba” (Ufu 1:16, 20; 3:1): w12 10/15 14; w10 9/15 27; w07 4/1 27-28; re 28-29, 33, 54-55, 136; w03 5/15 10; w02 3/15 14
“nyota ya asubuhi” (Ufu 2:28; 22:16): re 53, 318; w03 5/15 16; w00 4/1 14
“nyota ya mchana” (2Pe 1:19): w08 11/15 22; w05 1/15 16; w00 4/1 14-17; w97 9/1 12
“nyota za Mungu” (Isa 14:13): w02 9/15 30
‘nyota zilipigana na Sisera’ (Amu 5:20): w05 1/15 25
Pakanga (Ufu 8:10, 11): re 136-138
“sehemu ya tatu ya nyota za mbinguni” (Ufu 12:4): re 178-179
“taji la nyota kumi na mbili” (Ufu 12:1): re 178
zaanguka duniani (Da 8:10): dp 173, 175
zaanguka duniani (Ufu 6:13): re 109-110
nyota za nutroni (neutron): g98 7/22 16
nyota ziliwaongoza mabaharia:
Wapolinesia wa kale: g03 8/22 13-14; g02 8/8 21-23
nyota zinapozimika: g98 7/22 16
Nguzo ya Gesi na Mavumbi ya Kaa (Crab Nebula): g96 1/22 7-8
nyota zinavyozaliwa: g97 3/8 14; g96 1/22 6-7
nyota zinazoonekana kwa macho: g 2/12 15-16
eneo la anga la giza (eneo la Toronto, Kanada): g00 5/22 29
kwa nini nyota humetameta: g 2/12 16
taa za majiji zinawazuia watu wasizione nyota: g03 1/22 28; g02 5/22 29; g98 4/22 12
pulsar (nyota zinazozunguka kwa mbio): g03 6/8 16; g96 1/22 8
rangi za nyota: g 2/12 15, 17; g96 1/22 10
sayari zinazozunguka nyota: w07 2/15 4; g00 6/22 28; g99 3/8 28
tofauti kati ya sayari na nyota: g96 8/8 25-27
ukubwa: cl 48-49
uzito: g96 1/22 8
Nyota Mbalimbali
Bastola: g98 7/22 29
Betelgeuse: g96 1/22 8
Cygnus X-1: g98 7/22 14-17
Kanopa (Canopus): g96 8/8 27
kundi la nyota linaloitwa Omega Centauri: g98 12/8 31
Pleiades: w05 11/15 15
picha: w05 11/15 15
Rigel: w97 6/1 24-25
Siriasi (Sirius): g96 8/8 27