AMRI KUMI
(Pia huitwa Maneno Kumi; Ushuhuda)
(Ona pia Agano la Sheria)
Amri Kumi za watoto kwa watu wazima: g98 12/8 29
hakuna mfumo wa maadili unaoweza kuzikaribia (manukuu): w05 8/15 25
idadi ya wanaozijua na kuzifuata (Ujerumani): w01 8/15 3
mabamba ya mawe yaliyochongwa na Musa:
sanduku la muda la kuyawekea: w06 1/15 31
maelezo: w97 12/1 32
maoni ya Kikristo: rs 252-254
Musa azipokea: my 35
sehemu ya agano la Sheria: rs 252-254
umuhimu: w05 8/15 24-25
watu wengi hawazijui Amri Kumi:
Brazili: g98 4/22 28
makasisi: w97 12/1 32
zinategemea kweli muhimu za msingi: w09 3/15 23
Baadhi ya Zile Amri Kumi
amri ya pili, katazo la kuabudu sanamu: w09 2/1 30; g 8/08 20-21; ip-2 65-66
amri ya tatu, jina la Yehova: g04 1/22 6; g99 3/8 26-27
amri ya nne, Sabato: rs 250-257
amri ya tano, kuwaheshimu wazazi: g03 11/8 26
amri ya kumi, kutamani: w06 6/15 23-24