TAREHE ZINAZOHUSU UNABII
(Ona pia Kronolojia [Tarehe za Matukio])
K.W.K.
607, “siku ya Yehova” yafika (Isa 2:12; Eze 13:5; Sef 1): w01 2/15 12; ip-1 52
kipindi cha ukiwa cha miaka 70 chaanza (Yer 25:11): w11 10/1 27; w11 11/1 22-25, 27
“nyakati saba” zaanza (Da 4): re 105; dp 301
537, kipindi cha ukiwa cha miaka 70 chaisha (Yer 25:11): w11 10/1 28; w06 1/15 19
‘Sayuni azaa’ (Isa 66:8): ip-2 397-398
480, ‘mfalme wa nne’ (Shasta wa Kwanza) aivamia Ugiriki (Da 11:2): dp 212-213
455, “majuma 70” yaanza (Da 9:24, 25): bm 18; dp 190, 197
406, kazi ya kujenga upya Yerusalemu yamalizika (Da 9:25): dp 190-191
336, “mfalme mwenye nguvu” (Aleksanda Mkuu) ‘asimama’ (Da 11:3): dp 213-214
301, ‘ufalme (wa Ugiriki) wagawanywa kuelekea pepo nne’ (Da 11:4): dp 214-215
W.K.
29, Masihi atokea mwanzoni mwa juma la 70 (Da 9:25): g 7/12 24; w06 2/15 6; bh 197-199; w02 3/15 4-5; dp 190-191
“Patakatifu pa Patakatifu” patiwa mafuta (Da 9:24): w01 5/15 27
33, anayefananishwa na mwana-kondoo wa Pasaka auawa: w98 3/1 13
Masihi akatiliwa mbali “katika nusu ya juma” (Da 9:26, 27): dp 192
uzao wa mwanamke atiwa jeraha kwenye kisigino (Mwa 3:15): re 14; w97 6/1 8-9
anayefananishwa na mazao ya kwanza ya shayiri atolewa kama dhabihu: w07 1/1 21; w98 3/1 13
Yesu apokea “ufunguo wa Daudi” (Ufu 3:7): w09 1/15 31
anayefananishwa na mazao ya kwanza ya ngano atolewa kama dhabihu: w98 3/1 13
mbegu nzuri yapandwa katika shamba (Mt 13:24, 37): w10 3/15 19-20
roho ya Yehova yamiminwa (Yoe 2:28, 29; Mdo 2:17, 18): w98 5/1 13-14
ukusanyaji wa vitu vilivyo mbinguni waanza kwenye kikomo kamili cha nyakati zilizowekwa rasmi (Efe 1:10): w06 2/15 21-22; wt 186
kipindi kinachofananishwa na Sherehe ya Vibanda chaanza: w07 1/1 24; w96 7/1 24
shambulio la mfano la nzige laanza (Yoe 1, 2): w07 10/1 13
36, “majuma 70” yaisha (Da 9:24, 27): bt 72; dp 194
70, ‘jiji na mahali patakatifu paharibiwa’ (Da 9:26, 27): dp 195-196
1873, iliaminiwa kwamba miaka 6,000 ya historia ya wanadamu ilimalizika mwaka wa 1873: jv 631, 633
1874, iliaminiwa kwamba kuwapo kwa Kristo kulianza mwaka wa 1874: jv 46-47, 133, 631
1878, iliaminiwa kwamba Kristo alitawazwa mwaka wa 1878: jv 631-633
1881, iliaminiwa kwamba mwito wa mbinguni ungekwisha mwaka 1881: jv 632
1914, maono ya kugeuka sura yaanza kutimia (Mt 17; Mk 9; Lu 9): w97 5/15 11
mfalme wa kaskazini ‘aja kupigana na mfalme wa kusini’ (Da 11:29): dp 261-262, 264
“miezi 42” yaanza (Ufu 11:2; 13:5): re 162-164, 192
mwanamke wa mbinguni azaa mwana (Ufu 12:1-5): re 177-180
‘mzizi wa Yese ungesimama’ (Isa 11:10): ip-1 165-166
“nyakati saba” zaisha (Da 4): w06 7/15 6-7; re 22, 24; bh 216-218; rs 397-399; dp 96-97, 301
“nyakati za kurudishwa” zaanza (Mdo 3:21): bt 31; cl 77-78
“nyakati zilizowekwa za mataifa” zaisha (Lu 21:24): w06 7/15 6-7; bh 215-218; w04 2/1 19-20; jv 134-142, 635
Shilo apokea haki ya utii wa “vikundi vya watu” (Mwa 49:10): w02 10/1 19
siku 1,260 zaanza (Ufu 11:3): re 164
siku ya Bwana yaanza (Ufu 1:10): re 22, 24; w03 5/15 10
siku za mwisho zaanza: rs 289-290
‘siri takatifu yamalizika’ (Ufu 10:7): re 171-172
Ufalme waanza kutawala: w12 8/1 16-17; w06 7/15 6-7; bh 84-85; jv 138-139
‘wakati, nyakati, na nusu wakati’ zaanza (Da 7:25; 12:7): dp 142-143, 294, 296
“wakati uliowekwa” (Da 11:29): dp 261
Yehova aja “kama mtu mwenye nguvu” (Isa 40:10): ip-1 406
1918, ‘Bwana wa kweli na mjumbe wa agano’ waja kwenye hekalu la kiroho (Mal 3:1): w10 3/15 23; w07 4/1 22; w07 12/15 27-28; jd 179-182; re 31-32, 55-56
bwana wa watumwa wenye talanta aja kufanya hesabu (Mt 25:19): w04 3/1 16
‘dhabihu ya daima yaondolewa’ (Da 12:11): dp 297-298
hukumu yaanza na “nyumba ya Mungu” (1Pe 4:17): re 31-32, 260; w04 3/1 16
kimya mbinguni, uvumba wafukizwa (Ufu 8:1, 3, 4): w09 1/15 32; re 129-131
‘mashahidi wawili’ wauawa (Ufu 11:3, 7): re 167-168
mfalme wa kaskazini ‘ahuzunika’ (Da 11:30): dp 264
ufufuo wa wale watakaoishi mbinguni waanza: w07 1/1 28; re 103
‘wakati, nyakati, na nusu wakati’ zaisha (Da 7:25; 12:7): dp 143-144, 294-296
“watakatifu” washindwa (Ufu 13:7): re 192
Yehova asafisha hekalu (Isa 66:6): ip-2 396-397
1919, Babiloni Mkubwa aanguka (Ufu 14:8; 18:2): re 205-206, 209, 259-261
‘chukizo lasimamishwa’ (Da 12:11): dp 298, 300
mabaki waachiliwa huru kutoka katika Babiloni Mkubwa: ip-2 74; ip-1 400-401
mabaki wafufuliwa kwa njia ya mfano: dp 290-291
mabaki wala “kitabu kidogo cha kukunjwa” (Ufu 10:8-11): re 159-160
mabaki ‘wamiliki nchi’ (Isa 60:21): w02 7/1 18; ip-2 319-320
mabaki watakaswa (Isa 1:24-27): ip-1 32-34
mabaki ya watiwa-mafuta warudishwa katika paradiso ya kiroho: ip-1 380
mabikira wasikia mwito, “Huyu hapa bwana-arusi!” (Mt 25:6): w04 3/1 14
‘malaika wanne wafunguliwa’ (Ufu 9:15): re 149-151
mashahidi wawili wafufuliwa (Ufu 11:11, 12): re 169-170
“mavuno ya dunia” yaanza (Ufu 14:14-16): re 211-212
“mlango uliofunguliwa” mbele ya mabaki (Ufu 3:8): re 60-65
‘moto watupwa duniani’ (Ufu 8:5): w09 1/15 32; re 131
“mtumwa mwaminifu na mwenye busara” ‘awekwa juu ya mali za bwana’ (Mt 24:47): w04 3/1 12; wt 131
“Njia ya Utakatifu” yafunguliwa (Isa 35:8): ip-1 380-381
nzige watoka katika abiso (Ufu 9): re 143-148
Sherehe ya Vibanda ya mfano yaanza tena: w96 7/1 24
siku 1,260 zaanza (Ufu 12:6, 14): re 183-184
siku 1,290 zaanza (Da 12:11): dp 298, 300
taifa jipya lazaliwa (Isa 66:8): re 183-184; ip-2 397-400
“ufunguo wa nyumba ya Daudi” wawekwa juu ya bega la mabaki (Isa 22:22): w09 1/15 31
ujumbe “Mungu wako amekuwa mfalme” waanza kutolewa (Isa 52:7): ip-2 187
wale 144,000 waanza ‘kuimba kana kwamba ni wimbo mpya’ (Ufu 14:3): re 200
watumwa waaminifu ‘wawekwa juu ya mambo mengi’ (Mt 25:21, 23): w04 3/1 17
Yehova aanza kumimina roho yake juu ya mabaki (Yoe 2:28, 29): w98 5/1 14-15
1922, furiko la mateso (mnyanyaso) laanza: re 183-186
kupigwa kwa tarumbeta saba kwaanza (Ufu 8-11): w09 1/15 32; re 133, 149, 152
mabakuli saba yaanza kumwagwa (Ufu 15, 16): re 220, 223
majeshi ya askari wapanda-farasi waanza kushambulia (Ufu 9:16-19): re 152
siku 1,260 zaisha (Ufu 12:6, 14): re 184
siku 1,290 zaisha (Da 12:11): dp 300
siku 1,335 zaanza (Da 12:12): dp 303
1925, iliaminiwa kwamba “wakuu wa kale” wangefufuliwa na waliotiwa mafuta wangeenda mbinguni mwaka wa 1925: jv 78, 632-633
1926, siku 1,335 zaisha (Da 12:12): dp 303-304
1931, iliaminiwa kwamba mwito wa kwenda mbinguni ulikoma mwaka wa 1931: w07 5/1 30
1933, mfalme wa kaskazini ‘amwaga shutuma juu ya agano takatifu’ (Da 11:30): dp 265
1938, siku 2,300 zaanza (Da 8:14): dp 177
1939, ‘mikono, kutoka kwa mfalme wa kaskazini, yasimama’ (Da 11:31): dp 265-266
1939-1945, ‘dhabihu ya daima yaondolewa’ katika nchi za mfalme wa kaskazini (Da 11:31): dp 267, 298
1944, siku 2,300 zakoma (Da 8:14): w01 1/15 28; dp 178-179
1945, ‘chukizo lasimamishwa’ (Da 11:31): dp 267, 269