MAKONGAMANO
(Ona pia Baraza la Pili la Vatikani)
hailingani na andiko la Matendo 15: w12 1/15 6-7
Orodha Kulingana na Mwaka
m. 252, Baraza la Karthage:
ubatizo wa watoto wachanga: rs 308
325, Kongamano la Nisea:
agizo la kwamba watu waliojihasi (matowashi) hawastahili kuwekwa kuwa makasisi: g96 2/8 12
Eusebio wa Kaisaria: w03 7/15 29, 31
Konstantino: w12 1/15 6; w98 3/15 28
367, Baraza la Laodikia:
lakataza ala za muziki na makundi kushiriki katika sherehe za ibada: w97 2/1 26
431, Baraza la Efeso:
Maria “mama ya Mungu”: w09 11/1 8; w04 12/15 28; rs 184, 187
1215, Baraza Kuu la Nne la Kanisa:
maelezo kumhusu Ibilisi na roho waovu: w02 10/15 5
1414-1418, Baraza la Constance:
Jan Hus ahukumiwa kifo: w97 9/15 26
mifupa ya Wycliffe yafukuliwa na kuteketezwa: w97 9/15 26
1545-1563, Baraza la Trent:
lazuia watu wasiwe na Biblia katika lugha za kawaida: g 12/11 7
Vulgate ya Kilatini yakubaliwa: w09 4/1 21; w05 12/15 15; w99 1/1 26
watakatifu: w02 9/15 3
1962-1965, Baraza la Pili la Vatikani:
kumsujudia Maria: rs 185-186
maoni kuhusu Biblia: w05 12/15 16