HOSPITALI
(Ona pia Halmashauri za Uhusiano na Hospitali; Huduma za Habari za Hospitali; Upasuaji [Tiba])
(Kuna kichwa kidogo: Maeneo Mbalimbali)
bakteria (viini) sugu: g 9/11 29
kufanya kazi hospitalini:
maoni ya Biblia: w99 4/15 29
kutia damu mishipani:
Chuo cha Kitiba cha Wanawake cha Tokyo chaheshimu msimamo wa Mashahidi: w96 3/15 31
Hospitali ya Chuo Kikuu, Newark, New Jersey, Marekani, yaheshimu msimamo wa Mashahidi: g98 8/22 10-11
hospitali zinazokubali kutibu bila kutumia damu: g 8/06 12; g01 4/8 29; g00 1/8 9; g99 3/8 20; g98 12/8 19; g97 2/8 29; g96 1/22 31
Kitovu cha Kitiba cha Hospitali ya Cornell ya New York, New York, Marekani, chaheshimu msimamo wa Mashahidi: g96 1/22 31
madaktari katika Hospitali ya Englewood, New Jersey, Marekani, waheshimu msimamo wa Shahidi: g98 8/22 10
mambo yaliyoonwa:
kasisi wa Kanisa Othodoksi la Ugiriki: g99 10/22 13
madaktari wakuu: w99 4/1 8
Mashahidi wampelekea mume mpinzani mchuzi: yb07 235, 238-239
mgonjwa amwomba Mungu msaada wa kupata dini ya kweli: w09 6/1 28; yb04 54-55
Shahidi kutoka nchi ya kigeni atunzwa: jv 305-306
Shahidi mwenye kansa ya ubongo: yb09 55
manufaa ya kuwa na mimea katika chumba cha mgonjwa: g 9/09 30
manufaa ya mgonjwa kukaa katika chumba kimoja pamoja na wagonjwa wengine: g99 6/22 28-29
maoni ya Mashahidi kuhusu kujenga hospitali: w05 1/1 16
maoni ya Mashahidi kuhusu kutibiwa katika hospitali zinazosimamiwa na mashirika ya dini: km 4/08 4
msaada kwa Mashahidi:
Vikundi vya Kuwatembelea Wagonjwa: od 45
simu za mkononi zinavyoathiri vifaa vya tiba: g96 12/8 28
wagonjwa:
kukumbuka maelezo ya daktari: g04 2/22 29
wagonjwa wanaambukizwa magonjwa mengine hospitalini: g00 3/8 29; g98 9/22 29; g96 2/22 8
wizi: g98 11/8 29
Maeneo Mbalimbali
milki ya Kiislamu: g 9/12 22
Urusi:
mikutano pamoja na wataalamu wa kitiba kuhusu matibabu yasiyohusisha damu: yb08 222