SUMU
(Ona pia Dawa za Kulevya; Dawa za Kuua Wadudu; Kemikali; Mnururisho; Taka za Sumu; Uchafuzi)
aseniki:
katika visima vyenye kina kirefu (Asia): g04 5/22 28; g98 4/8 28-29
chakula kibaya:
madhara ya kula kupita kiasi: g99 5/22 29
ugonjwa unaosababishwa na samaki mwenye sumu: g 7/06 19-21
dalili za ugonjwa unaosababishwa na maji mekundu: g01 6/8 24-25
jambo la kufanya mtu anapokunywa sumu: g99 10/8 22
kemikali ya DDT: g01 8/22 28; g00 12/22 29
kukadiria kiwango kisichodhuru cha mnururisho, kemikali hatari, dawa ya kuwaua wadudu waharibifu: g98 12/22 5-6
madini ya risasi: g 12/09 28-29
mnururisho:
msiba wa nyuklia huko Chernobyl, Muungano wa Sovieti (1986): re 175
monoksidi ya kaboni: g00 12/8 31
nyuki walio katika hatari ya kutoweka (Ufaransa): g03 3/8 28
nyumbani: g99 10/8 22; g98 12/22 7-9
vitu vinavyoweza kuwasumisha watoto: g96 9/8 28-29
watoto hasa wanaathiriwa: g98 12/22 9
watu wazima hasa wanywa sumu bila kukusudia: g04 12/22 29
sumu inarundamana katika mnyama wa mwisho katika mfuatano wa wanyama wanaokula wanyama wengine: g98 12/22 6
sumu ya mfano:
‘mzizi wenye sumu’ (Ebr 12:15): w08 10/15 32; w06 11/1 26
roho ya ulimwengu: w97 10/1 25-29
sumu ya nyoka:
dawa ya sumu ya nyoka na ya buibui: g96 8/22 25
nyoka anayeitwa habu: g96 7/8 10
zebaki:
zilizo katika vipima-joto: g02 10/8 28-29