NYOTA, ELIMU YA
(Ona pia Darubini; Kupatwa kwa Jua au Mwezi; Makundi ya Nyota [Mipangilio Inayoonekana Duniani]; Nyota; Ulimwengu [Sayari na Nyota]; Vituo vya Kuchunguzia Anga)
Antaktika:
mahali bora pa kuchunguzia anga: g 12/08 29
astrolabe: g 4/12 19
China:
yaelekea mlipuko wa nyota ulionekana China (1054): g96 1/22 8
Ekuado (ya kale): g05 12/22 22-25
hali zinazofanya iwe rahisi kwa wataalamu wa nyota kufanya uchunguzi: w07 2/15 7
idadi ya miezi katika mfumo wa jua: g04 8/8 28
idadi ya nyota zinazoonekana duniani kupitia darubini: w04 6/1 11; g04 4/22 28
inavyosaidia kujua:
tarehe za matukio (kronolojia): w11 10/1 31; w11 11/1 24-25, 27-28
Wasomi Wanaozungumza kiarabu: g 4/12 16-19
India:
vituo vya kuchunguzia anga vilivyojengwa na Jai Singh (1724): g05 7/8 18-20
jitihada za kuvumbua viumbe katika sayari nyingine: g03 6/8 16-17; g00 8/8 28
jitihada za kuwasiliana na viumbe wenye akili katika sayari nyingine: g02 11/22 28-29
madhara ya kelele za vifaa vya elektroniki: g00 3/22 29
mambo ambayo yamevumbuliwa: g96 7/8 28
asteroidi inayoitwa Sallit One: g96 8/22 29
ikweta ya dunia: g05 12/22 22-25
makundi marefu ya nyota: g 2/09 30
ulimwengu (sayari na nyota) una mwanzo: g 11/07 8; rs 36-37; g99 6/22 3-5
ulimwengu (sayari na nyota) unapanuka: g 8/09 16-18; g99 6/22 3-4; ct 11-14
wingu la mata yenye uvutano wa kinyume katika kundi la nyota la Kilimia (1997): g97 10/22 29
Marekani:
Hubble, Edwin: g 8/09 16-17
mwendo wa nyota na sayari:
Galileo: w05 4/1 3-5; g03 4/22 11-13; ba 4-5
Kepler, Johannes: g05 3/8 24-27; g05 12/22 30
Kopeniko, Nikolao: w05 4/1 3; g05 7/22 14-17
Tolemi (Ptolemy), Klaudio: g96 1/22 4
Peru (ya kale): g 2/08 29
ramani za anga (chati za nyota): g00 1/22 25-27
rangi za nyota, mawingu yenye kujiviringisha na makundi ya nyota (galaksi): g 2/12 15, 17; g96 1/22 10
sayari zinazozunguka nyota katika mifumo mingine ya nyota: w07 2/15 4; g00 6/22 28; g99 3/8 28
shughuli ya starehe (hobi): g96 8/8 25-27
sumaku-umeme: g96 3/8 12, 15
sehemu mbalimbali zazungumziwa: g96 3/8 12, 14
taa za majiji zinavyoiathiri: g03 1/22 28; g02 5/22 29; g96 7/8 28-29
ufafanuzi: g 8/09 17
Ugiriki (ya kale):
Aristoto: w11 7/1 24-28; w05 4/1 4-5; ba 19-20
Eratostheno akadiria mzingo wa dunia: g04 6/22 13
Kifaa cha Antikythera (cha kukadiria miendo ya jua, mwezi, na sayari): g 3/09 24-26; g 9/07 21