MWANAMKE (Ufunuo 12)
(Ona pia Uzao wa Mwanamke)
alia kwa sababu ya uchungu wa kuzaa: re 178
amepambwa jua: re 178
anafananisha sehemu ya mbinguni ya tengenezo la Yehova: re 177-178
apewa mabawa mawili ya tai: re 183-184
ateswa na joka: re 183-184
maelezo: re 177-180, 183-186
mtoto mwanamume: re 179-180
mwezi chini ya miguu yake: re 178
siku 1,260 nyikani: re 179-180, 183-184
taji la nyota 12: re 178