KANISA LA KILUTHERI
(Ona pia Kanisa la Kiinjili Nchini Ujerumani; Luther, Martin)
Azimio la Pamoja Kuhusu Fundisho la Haki (pamoja na Kanisa Katoliki) (1999): w00 12/1 32
Ekaristi:
fundisho la kwamba mkate na divai vinaunganishwa na mwili na damu ya Kristo: w08 4/1 27
Estonia:
msimamo wa Walutheri ulikuwa tofauti na wa Mashahidi waliotishwa huko Sovieti: w05 7/15 32
jina Kilutheri: jv 150
kutokufa kwa nafsi:
katekisimu mpya inapinga fundisho la kutokufa kwa nafsi: ct 168
mambo yaliyoonwa:
kasisi aandamana na Mashahidi katika utumishi: yb05 233
kasisi na wafuasi wateketeza nyumba ya Mashahidi ya kufanyia mikutano (Papua New Guinea): w10 3/1 17
mwalimu asifu kitabu Jitihada ya Ainabinadamu ya Kutafuta Mungu: g00 9/8 32
Papua New Guinea:
kasisi awachochea watu wawashambulie Mashahidi: yb11 122-123
Poland:
Ducal Prussia (miaka ya 1500): w07 8/15 20
Wisła: w04 10/15 25
Sweden:
arusi za watu wa jinsia moja kanisani: g 9/10 29
Kanisa litajitenga na Serikali: g99 12/8 28; w97 4/1 30; g96 8/8 29
uvutano unapungua: w97 4/1 30
Ujerumani:
lajisifu kwa kufaulu kuwachochea Wanazi nchini Ujerumani wawapige Mashahidi marufuku: jv 659-660