Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w08 3/1 uku. 32
  • Machi 22, 2008—Siku ya Kukumbuka

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 22, 2008—Siku ya Kukumbuka
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
w08 3/1 uku. 32

Machi 22, 2008—Siku ya Kukumbuka

Jioni iliyotangulia kifo chake, Yesu aliwapa mitume wake mkate usiotiwa chachu na kikombe cha divai na kuwaagiza wale na kunywa. Pia aliwaambia: “Endeleeni kufanya hivi kwa kunikumbuka mimi.”—Luka 22:19.

Mwaka huu, ukumbusho wa tukio hilo utakuwa Jumamosi, Machi 22, baada ya jua kushuka. Mashahidi wa Yehova ulimwenguni pote watakutana usiku huo wa pekee ili kuadhimisha Ukumbusho huo kama Yesu alivyoamuru. Tunakukaribisha kwa uchangamfu ujiunge nasi kushuhudia tukio hilo. Tafadhali wasiliana na Mashahidi wa Yehova katika eneo lenu ili ujue wakati na mahali pa mkutano huo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki