Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yb17 kur. 82-83
  • Georgia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Georgia
  • 2017 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
2017 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
yb17 kur. 82-83
Shahidi wa Yehova akimhubiria mwanamume fulani katika eneo la milima la Georgia

Georgia

Kwa kufaa, kuenea kwa ujumbe wa Ufalme nchini Georgia kunaonyeshwa kupitia mfano wa Yesu wa chachu iliyofichwa. (Mt. 13:33) Kama ilivyokuwa katika mfano wa chachu, ukuzi wa kiroho haukuonekana mwanzoni, lakini kwa muda mfupi ujumbe wa Ufalme ulianza kuenea sana na kubadili maisha ya wengi.

Soma kuhusu simulizi lenye kuchangamsha na kuchochea la upendo, imani, ushikamanifu, bidii, na ujasiri ulioonyeshwa na watu wa Mungu nchini Georgia “katika majira yanayofaa [na] katika majira yenye taabu.”—2 Tim. 4:2.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki