Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 11:28
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 28 Ndipo Yoshua+ mwana wa Nuni, aliyekuwa mtumishi wa Musa tangu ujanani, akasema: “Bwana wangu Musa, wakataze!”+

  • Hesabu 13:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Hayo ndiyo majina ya wanaume ambao Musa aliwatuma kuipeleleza nchi. Musa alimpa Hoshea mwana wa Nuni jina Yoshua.*+

  • Hesabu 14:30
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 30 Hakuna hata mmoja wenu atakayeingia katika nchi niliyoapa kwamba mtaishi ndani yake,+ isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune na Yoshua mwana wa Nuni.+

  • Hesabu 34:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 “Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowagawia nchi ili mwimiliki: kuhani Eleazari+ na Yoshua+ mwana wa Nuni.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki