-
Yeremia 41:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Yohanani+ mwana wa Karea na wakuu wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye waliposikia uovu wote ambao Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa ametenda,
-
-
Yeremia 41:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Yohanani mwana wa Karea na wakuu wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye wakawachukua watu waliobaki Mispa ambao walikuwa wamewaokoa kutoka kwa Ishmaeli mwana wa Nethania baada ya kumuua Gedalia+ mwana wa Ahikamu. Wakawaleta wanaume, wanajeshi, wanawake, watoto, na maofisa wa makao ya mfalme kutoka Gibeoni.
-
-
Yeremia 43:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Azaria mwana wa Hoshaya, Yohanani+ mwana wa Karea, na watu wote wenye kimbelembele wakamwambia Yeremia: “Unasema uwongo! Yehova Mungu wetu hakukutuma useme, ‘Msiende kukaa Misri.’
-