Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 33
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Hesabu—Yaliyomo

      • Vituo vya safari ya Waisraeli nyikani (1-49)

      • Maagizo ya kuteka nchi ya Kanaani (50-56)

Hesabu 33:1

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “majeshi yao.”

Marejeo

  • +Kut 12:51
  • +Kut 13:18
  • +Yos 24:5; 1Sa 12:8

Hesabu 33:2

Marejeo

  • +Hes 9:17

Hesabu 33:3

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “mkono ulioinuliwa.”

Marejeo

  • +Mwa 47:11; Kut 12:37
  • +Kut 12:2; 13:4
  • +Kut 12:3, 6; Kum 16:1

Hesabu 33:4

Marejeo

  • +Kut 12:29; Zb 78:51
  • +Kut 12:12; 18:11

Hesabu 33:5

Marejeo

  • +Kut 12:37

Hesabu 33:6

Marejeo

  • +Kut 13:20

Hesabu 33:7

Marejeo

  • +Kut 14:9
  • +Kut 14:2

Hesabu 33:8

Marejeo

  • +Kut 14:22
  • +Kut 15:22
  • +Kut 13:20
  • +Kut 15:23

Hesabu 33:9

Marejeo

  • +Kut 15:27

Hesabu 33:11

Marejeo

  • +Kut 16:1

Hesabu 33:14

Marejeo

  • +Kut 17:1, 8

Hesabu 33:15

Marejeo

  • +Kut 18:5; 19:1, 2; Hes 1:1; 3:4; 9:1

Hesabu 33:16

Marejeo

  • +Hes 11:34; Kum 9:22

Hesabu 33:17

Marejeo

  • +Hes 11:35; 12:16

Hesabu 33:26

Marejeo

  • +Hes 9:17

Hesabu 33:31

Marejeo

  • +Kum 10:6

Hesabu 33:33

Marejeo

  • +Kum 10:7

Hesabu 33:35

Marejeo

  • +Kum 2:8; 1Fa 9:26

Hesabu 33:36

Marejeo

  • +Hes 20:1; 27:14; Kum 32:51; Yos 15:1

Hesabu 33:37

Marejeo

  • +Hes 20:22

Hesabu 33:38

Marejeo

  • +Kum 10:6

Hesabu 33:40

Marejeo

  • +Hes 21:1

Hesabu 33:41

Marejeo

  • +Hes 21:4

Hesabu 33:43

Marejeo

  • +Hes 21:10

Hesabu 33:44

Marejeo

  • +Mwa 19:36, 37; Hes 21:11, 13

Hesabu 33:45

Maelezo ya Chini

  • *

    Huu ni ufupisho wa Iye-abarimu.

Marejeo

  • +Hes 32:34

Hesabu 33:47

Marejeo

  • +Hes 27:12; Kum 32:48, 49
  • +Kum 34:1

Hesabu 33:48

Marejeo

  • +Hes 22:1

Hesabu 33:49

Marejeo

  • +Hes 25:1; Yos 2:1

Hesabu 33:51

Marejeo

  • +Yos 3:17

Hesabu 33:52

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “za kuyeyushwa.”

Marejeo

  • +Law 26:1
  • +Law 19:4; Kum 27:15
  • +Kut 23:24; 34:13, 17; Kum 7:5; 12:3

Hesabu 33:53

Marejeo

  • +Kum 32:8

Hesabu 33:54

Marejeo

  • +Met 16:33
  • +Hes 26:53, 54
  • +Yos 15:1; 16:1; 18:11

Hesabu 33:55

Marejeo

  • +Amu 1:21; Zb 106:34
  • +Kut 23:31-33; Kum 7:3, 4; Yos 23:12, 13; Amu 2:2, 3

Hesabu 33:56

Marejeo

  • +Law 18:28; Yos 23:15

Jumla

Hes. 33:1Kut 12:51
Hes. 33:1Kut 13:18
Hes. 33:1Yos 24:5; 1Sa 12:8
Hes. 33:2Hes 9:17
Hes. 33:3Mwa 47:11; Kut 12:37
Hes. 33:3Kut 12:2; 13:4
Hes. 33:3Kut 12:3, 6; Kum 16:1
Hes. 33:4Kut 12:29; Zb 78:51
Hes. 33:4Kut 12:12; 18:11
Hes. 33:5Kut 12:37
Hes. 33:6Kut 13:20
Hes. 33:7Kut 14:9
Hes. 33:7Kut 14:2
Hes. 33:8Kut 14:22
Hes. 33:8Kut 15:22
Hes. 33:8Kut 13:20
Hes. 33:8Kut 15:23
Hes. 33:9Kut 15:27
Hes. 33:11Kut 16:1
Hes. 33:14Kut 17:1, 8
Hes. 33:15Kut 18:5; 19:1, 2; Hes 1:1; 3:4; 9:1
Hes. 33:16Hes 11:34; Kum 9:22
Hes. 33:17Hes 11:35; 12:16
Hes. 33:26Hes 9:17
Hes. 33:31Kum 10:6
Hes. 33:33Kum 10:7
Hes. 33:35Kum 2:8; 1Fa 9:26
Hes. 33:36Hes 20:1; 27:14; Kum 32:51; Yos 15:1
Hes. 33:37Hes 20:22
Hes. 33:38Kum 10:6
Hes. 33:40Hes 21:1
Hes. 33:41Hes 21:4
Hes. 33:43Hes 21:10
Hes. 33:44Mwa 19:36, 37; Hes 21:11, 13
Hes. 33:45Hes 32:34
Hes. 33:47Hes 27:12; Kum 32:48, 49
Hes. 33:47Kum 34:1
Hes. 33:48Hes 22:1
Hes. 33:49Hes 25:1; Yos 2:1
Hes. 33:51Yos 3:17
Hes. 33:52Law 26:1
Hes. 33:52Law 19:4; Kum 27:15
Hes. 33:52Kut 23:24; 34:13, 17; Kum 7:5; 12:3
Hes. 33:53Kum 32:8
Hes. 33:54Met 16:33
Hes. 33:54Hes 26:53, 54
Hes. 33:54Yos 15:1; 16:1; 18:11
Hes. 33:55Amu 1:21; Zb 106:34
Hes. 33:55Kut 23:31-33; Kum 7:3, 4; Yos 23:12, 13; Amu 2:2, 3
Hes. 33:56Law 18:28; Yos 23:15
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
  • 41
  • 42
  • 43
  • 44
  • 45
  • 46
  • 47
  • 48
  • 49
  • 50
  • 51
  • 52
  • 53
  • 54
  • 55
  • 56
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Hesabu 33:1-56

Hesabu

33 Waisraeli walipiga kambi katika vituo vifuatavyo walipotoka nchini Misri+ kulingana na vikosi vyao*+ wakiongozwa na Musa na Haruni.+ 2 Musa aliandika kila kituo katika safari yao kama Yehova alivyomwagiza, na hivi ndivyo vituo vya safari yao, kituo baada ya kituo:+ 3 Waliondoka Ramesesi+ siku ya 15 ya mwezi wa kwanza.+ Siku hiyohiyo baada ya Pasaka,+ Waisraeli waliondoka kwa ujasiri* huku Wamisri wote wakiwatazama. 4 Wakati huo, Wamisri walikuwa wakiwazika wazaliwa wao wote wa kwanza ambao Yehova aliwaangamiza,+ kwa kuwa Yehova alikuwa ametekeleza hukumu dhidi ya miungu yao.+

5 Kwa hiyo Waisraeli wakaondoka Ramesesi na kupiga kambi Sukothi.+ 6 Kisha wakaondoka Sukothi na kupiga kambi Ethamu,+ kwenye ukingo wa nyika. 7 Halafu wakaondoka Ethamu, wakageuka na kurudi Pihahirothi, mbele ya Baal-sefoni,+ wakapiga kambi karibu na Migdoli.+ 8 Kisha wakaondoka Pihahirothi na kupita katikati ya bahari+ mpaka nyikani,+ wakaendelea kusafiri kwa siku tatu katika nyika ya Ethamu+ na kupiga kambi huko Mara.+

9 Kisha wakaondoka Mara na kufika Elimu. Huko Elimu kulikuwa na chemchemi 12 za maji na mitende 70, kwa hiyo wakapiga kambi mahali hapo.+ 10 Halafu wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari Nyekundu. 11 Kisha wakaondoka kando ya Bahari Nyekundu na kupiga kambi katika nyika ya Sini.+ 12 Halafu wakaondoka katika nyika ya Sini na kupiga kambi Dofka. 13 Baadaye wakaondoka Dofka na kupiga kambi Alushi. 14 Kisha wakaondoka Alushi na kupiga kambi Refidimu,+ ambapo hapakuwa na maji ya kunywa. 15 Halafu wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika nyika ya Sinai.+

16 Wakaondoka katika nyika ya Sinai na kupiga kambi Kibroth-hataava.+ 17 Kisha wakaondoka Kibroth-hataava na kupiga kambi Haserothi.+ 18 Baada ya hapo wakaondoka Haserothi na kupiga kambi Rithma. 19 Kisha wakaondoka Rithma na kupiga kambi Rimon-peresi. 20 Halafu wakaondoka Rimon-peresi na kupiga kambi Libna. 21 Wakaondoka Libna na kupiga kambi Risa. 22 Kisha wakaondoka Risa na kupiga kambi Kehelatha. 23 Halafu wakaondoka Kehelatha na kupiga kambi kwenye Mlima Sheferi.

24 Kisha wakaondoka kwenye Mlima Sheferi na kupiga kambi Harada. 25 Halafu wakaondoka Harada na kupiga kambi Makelothi. 26 Kisha wakaondoka+ Makelothi na kupiga kambi Tahathi. 27 Halafu wakaondoka Tahathi na kupiga kambi Tera. 28 Kisha wakaondoka Tera na kupiga kambi Mithka. 29 Baadaye wakaondoka Mithka na kupiga kambi Hashmona. 30 Kisha wakaondoka Hashmona na kupiga kambi Moserothi. 31 Halafu wakaondoka Moserothi na kupiga kambi Bene-yaakani.+ 32 Kisha wakaondoka Bene-yaakani na kupiga kambi Hor-hagidgadi. 33 Halafu wakaondoka Hor-hagidgadi na kupiga kambi Yotbata.+ 34 Baadaye wakaondoka Yotbata na kupiga kambi Abrona. 35 Kisha wakaondoka Abrona na kupiga kambi Esion-geberi.+ 36 Kisha wakaondoka Esion-geberi na kupiga kambi katika nyika ya Zini,+ yaani, Kadeshi.

37 Baadaye wakaondoka Kadeshi na kupiga kambi kwenye Mlima Hori,+ mpakani mwa nchi ya Edomu. 38 Kisha kuhani Haruni akapanda juu ya Mlima Hori kwa agizo la Yehova, akafa huko siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa 40 tangu Waisraeli walipotoka nchini Misri.+ 39 Haruni alikuwa na umri wa miaka 123 alipokufa juu ya Mlima Hori.

40 Basi mfalme wa Aradi,+ Mkanaani, aliyekuwa akiishi Negebu katika nchi ya Kanaani, akasikia kwamba Waisraeli wanakuja.

41 Baada ya muda wakaondoka kwenye Mlima Hori+ na kupiga kambi Salmona. 42 Kisha wakaondoka Salmona na kupiga kambi Punoni. 43 Halafu wakaondoka Punoni na kupiga kambi Obothi.+ 44 Wakaondoka Obothi na kupiga kambi Iye-abarimu kwenye mpaka wa Moabu.+ 45 Baadaye wakaondoka Iyimu* na kupiga kambi Dibon-gadi.+ 46 Kisha wakaondoka Dibon-gadi na kupiga kambi Almon-diblathaimu. 47 Halafu wakaondoka Almon-diblathaimu na kupiga kambi kwenye milima ya Abarimu+ karibu na Nebo.+ 48 Mwishowe wakaondoka kwenye milima ya Abarimu na kupiga kambi katika jangwa tambarare la Moabu karibu na Yordani huko Yeriko.+ 49 Wakaendelea kupiga kambi kandokando ya Mto Yordani kuanzia Beth-yeshimothi mpaka Abel-shitimu,+ katika jangwa tambarare la Moabu.

50 Yehova akazungumza na Musa katika jangwa tambarare la Moabu karibu na Yordani huko Yeriko, akamwambia: 51 “Waambie hivi Waisraeli: ‘Mnavuka Mto Yordani kuingia katika nchi ya Kanaani.+ 52 Ni lazima muwafukuze wakaaji wote wa nchi hiyo kutoka mbele yenu na kuharibu sanamu zao zote za mawe+ na sanamu zao zote za chuma,*+ nanyi mnapaswa kuharibu mahali pao pote patakatifu palipo juu.+ 53 Mtaimiliki nchi hiyo na kuishi humo, kwa maana hakika nitawapa nchi hiyo ili mwimiliki.+ 54 Mtaigawanya nchi hiyo kwa kura+ na kuimiliki kulingana na familia zenu. Kundi kubwa litapokea urithi mkubwa zaidi na kikundi kidogo kitapokea urithi mdogo.+ Kila mtu atapokea urithi wake mahali ambapo kura yake itaangukia. Mtapokea urithi wenu wa nchi kulingana na makabila ya baba zenu.+

55 “‘Hata hivyo, msipowafukuza wakaaji wa nchi hiyo kutoka mbele yenu,+ basi wale mtakaoruhusu wabaki watakuwa kama vibanzi katika macho yenu na kama miiba kwenye mbavu zenu, nao watawasumbua katika nchi mtakayoishi.+ 56 Nami nitawatendea ninyi mambo niliyokusudia kuwatendea wao.’”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki