Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 12
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Mambo ya Walawi 12:2

Marejeo

  • +Mwa 4:1
  • +Law 15:19

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2012, uku. 17

    5/15/2004, uku. 23

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 1/15 17; w04 5/15 23

Mambo ya Walawi 12:3

Marejeo

  • +Mwa 17:12; 21:4; Lu 1:59; 2:21; Yoh 7:22

Mambo ya Walawi 12:4

Marejeo

  • +Lu 2:22

Mambo ya Walawi 12:5

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2004, uku. 23

  • Fahirishi ya Machapisho

    w04 5/15 23

Mambo ya Walawi 12:6

Marejeo

  • +Law 1:4, 10
  • +Law 15:14

Mambo ya Walawi 12:7

Marejeo

  • +Law 15:28

Mambo ya Walawi 12:8

Marejeo

  • +Law 1:14; 5:7; 14:22; Lu 2:24
  • +Law 4:26; 6:7; Hes 15:25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2004, uku. 23

  • Fahirishi ya Machapisho

    w04 5/15 23

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Law. 12:2Mwa 4:1
Law. 12:2Law 15:19
Law. 12:3Mwa 17:12; 21:4; Lu 1:59; 2:21; Yoh 7:22
Law. 12:4Lu 2:22
Law. 12:6Law 1:4, 10
Law. 12:6Law 15:14
Law. 12:7Law 15:28
Law. 12:8Law 1:14; 5:7; 14:22; Lu 2:24
Law. 12:8Law 4:26; 6:7; Hes 15:25
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Mambo ya Walawi 12:1-8

Mambo ya Walawi

12 Naye Yehova akaendelea kusema na Musa, na kumwambia: 2 “Sema na wana wa Israeli, na kuwaambia, ‘Ikiwa mwanamke atachukua mimba+ na kuzaa mtoto wa kiume, atakuwa asiye safi kwa siku saba; kama vile katika siku za uchafu wakati anapokuwa na hedhi atakuwa asiye safi.+ 3 Na siku ya nane ngozi ya govi la mtoto huyo itatahiriwa.+ 4 Kwa siku 33 zaidi mwanamke huyo atakaa katika damu ya utakaso. Asiguse kitu chochote kilicho kitakatifu, wala asiingie mahali patakatifu mpaka kutimia kwa siku za utakaso wake.+

5 “‘Sasa, ikiwa atazaa mtoto wa kike, basi atakuwa asiye safi kwa siku 14, kama vile wakati wa kuwa na hedhi. Kwa siku 66 zaidi atakaa katika damu ya utakaso wake. 6 Kisha zitakapotimia siku za utakaso wake kwa ajili ya mwana au binti ataleta mwana-kondoo dume katika mwaka wake wa kwanza kwa ajili ya toleo la kuteketezwa+ na hua mchanga au njiwa-tetere+ kwa ajili ya toleo la dhambi kwenye mwingilio wa hema la mkutano kwa kuhani. 7 Naye atalitoa mbele za Yehova na kufanya upatanisho kwa ajili ya mwanamke huyo, naye atakuwa safi kutokana na chemchemi ya damu yake.+ Hiyo ndiyo sheria juu ya mwanamke anayezaa mtoto wa kiume au wa kike. 8 Lakini ikiwa hana uwezo wa kutosha wa kutoa kondoo, basi atachukua njiwa-tetere wawili au hua wachanga wawili,+ mmoja kwa ajili ya toleo la kuteketezwa na yule mwingine kwa ajili ya toleo la dhambi, naye kuhani atafanya upatanisho+ kwa ajili yake, naye atakuwa safi.’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki