Mwanzo 37:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Tazama, tulikuwa tukifunga miganda katikati ya shamba wakati ambapo tazama, mganda wangu uliinuka, ukasimama wima nayo miganda yenu ikauzunguka na kuuinamia mganda wangu.”+
7 Tazama, tulikuwa tukifunga miganda katikati ya shamba wakati ambapo tazama, mganda wangu uliinuka, ukasimama wima nayo miganda yenu ikauzunguka na kuuinamia mganda wangu.”+