Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 37:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Baadaye Rubeni akarudi kwenye lile shimo la maji na tazama Yosefu hakuwemo. Basi akayararua mavazi yake.+

  • Yoshua 7:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Ndipo Yoshua akararua nguo zake za kujitanda, akaanguka kifudifudi+ mbele ya sanduku la Yehova mpaka jioni, yeye na wanaume wazee wa Israeli, nao wakawa wakitia mavumbi vichwani mwao.+

  • Matendo 14:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Hata hivyo, mitume Barnaba na Paulo waliposikia jambo hilo, wakayararua mavazi yao ya nje na kuruka ndani ya umati, wakipaaza sauti

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki