Mwanzo 37:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Tazama, tulikuwa tukifunga miganda katikati ya shamba wakati ambapo tazama, mganda wangu uliinuka, ukasimama wima nayo miganda yenu ikauzunguka na kuuinamia mganda wangu.”+ Mwanzo 50:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Halafu ndugu zake pia wakaja na kuanguka chini mbele yake. Wakamwambia: “Tazama, sisi ni kama watumwa kwako!”+
7 Tazama, tulikuwa tukifunga miganda katikati ya shamba wakati ambapo tazama, mganda wangu uliinuka, ukasimama wima nayo miganda yenu ikauzunguka na kuuinamia mganda wangu.”+
18 Halafu ndugu zake pia wakaja na kuanguka chini mbele yake. Wakamwambia: “Tazama, sisi ni kama watumwa kwako!”+